blackforest
New Member
- Dec 8, 2015
- 4
- 0
Modernlady nimekutana na mwanaume asiye modern. Jamani nisaidieni. Tupo kwenye relationship kwa almost 3 years. Mwanzo ilikuwa mambo ya kwenda out na kuenjoy. Nikifikiria kwamba hana mambo ya pwani na wala hahitaji mwanamke wa design hiyo coz Siku zote alikuwa ananisifia jinsi nilivyo mchapa kazi na fighter.
Sasa juzi juzi kaniambia yupo serious na mimi na anataka kunioa. Yaani mambo yamebadilika, anataka mambo ya viuno, shanga, kila ninachopika kinakosolewa. Mavazi pia anataka nibadilishe ni madera kwenda mbele. Nimechanganyikiwa.
Kwa kweli mambo yote hayo mi sina uzoefi navyo. Kiuno kigumu kama jiwe. Jikoni mambo ya mkate wa kumimima, sijui kalmati sijawahi. Nimezoea vimini na jeans, madera msibani tu. Jamani wapi naweza Pata maujanja na mwalimu nisiachike jamani. Au nifanyaje? Amekuwa mkali tunagombana kila siku. I love him.

Last edited by a moderator: