BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Greetings member,
Kuna baadhi ya wanawake, walio kwenye ndoa na wanaosubiri posa wanakunywa
pombe kama wanaume! Wanaenda kwenye mabaa, wanapiga vyombo vizito wengine hata wanaume hatuwafikii utakuta mwanamke anakunywa bia safari lager ina calories kibao, matokeo anapata kitambi na kupoteza shape.
Wanawake ni maua mnatakiwa mjipende tunzeni shape zenu, kunyweni kwa staha,
acheni ulevi familia zinawategemea mwanamke akiwa mlevi thamani yake
katika jamii inatoweka.
Wanaume ni watu wa kuwahangaikia wanawake na familia mda mwingi wana kuwa na stress wanafikiri wakinywa ndio tibia, japo wanaishia kuharibikiwa zaidi hawa wengi wao ni wazoefu hata wakinywa anafika nyumbani salama hata gari anaendesha lakini mdada ni shida akilewa.
Wadada punguzeni kinywaji, fanya mazoezi kidogo utafurahia mema ya nchi.
Niwatakie week end njema ulevi ni nouma.