Wanawake makabila mengi wanaangusha wanaume wasiotaka kuoa wachaga/wahaya

shaurimbaya

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
1,915
2,329
heshima kweli wadau..

kiukweli wanawake wa makabila madogo na yasiyo na mbwembwe ni ngumu sana kukutana nao kwenye vurugu za maisha za kila siku..

makazini 80% ni wachaga, wahaya etc, vyuoni 80% wachaga, kwenye vibiashara na ujasiriamali hao hao wachaga...

ni ngumu sana kukutana na wanawake wa makabila mengine kwenye miangaiko ya kila siku atleast awe mama watoto..

je huwa mnajifungia ndani au hampendi kujituma?

wakinga, wahehe, wanyamwezi, wasukuma, wakurya, wagogo, wakinga, wasafa, wangoni na makabila yote ni vizuri mkatupa majibu..

kwa story za kijiweni kiukweli wanaume wengi wa makabila madogo wanakwepa sana kuoa wachaga na wahaya but wanapata shida sana kukutana na wanawake majembe wa
makabila mengine na kufanya nao maisha..

ukiwa chuoni kila ukigusa mchaga, makazini kila ukigusa hao hao.. kwenye mihangaiko hao hao tu as wengine wanakuwa wapi?

je hamjiweki smart kutuvutia au hampendi kuhangaika na vurugu za maisha mnajifungia ndani tu??
 
Upuuzi huu!
Wanyakyusa umewaweka ktk kabila dogo ambalo haukutani nalo kazini kwako?


sijasema kabila dogo au kubwa.. nimesema why wachaga na wahaya ndio wanaonekana sena sehemu za mihangaiko...

ukiongelea ukubwa wa kabila wasukuma ndio kabila kubwa kuliko yote.. lakini nao ngumu kuwakuta kwenye mihangaiko kama wachaga na wahaya
 
Stori za kijiweni bila kuzifanyia uchunguzi kutuletea huku limekuwa tatizo Kwa vijana wa kizazi hiki
 
Wachaga wamewekeza sana kwenye Elimu, Biashara na mambo mazuri ya kimaendeleo, hakuna mfumo dume uchagani, wao ni kuchakarika tu since childhood na pia issue za kifamilia(Watoto wanazaliwa na kutunzwa ndani ya ndoa) hivyo matunda ya kizazi chao lazima yaonekane kwenye nyanza zote za kimaendeleo mijini. They are smart in school, business nk.

Baniani mbaya kiatu chake dawa na mkataa pema pabaya panamwita. Please, look for Chaga girl too if you plan to success in your marriage life. Ndio ukweli mchungu.
 
Upuuzi huu!
Wanyakyusa umewaweka ktk kabila dogo ambalo haukutani nalo kazini kwako?
1.Wanyakyusa si wengi hizo sehemu anazozitaja huyu mdau..
Wanyakyusa wamejifungua hukooo Tukuyu, Kyela na Mbeya mjini...
2. Wanyakyusa wa kike wanaangushwa na yale maumbo yao. Huyu mdau inaonesha anapenda maumbo design ile ya wachagga ambayo ni contrary na ya kinyakyusa
 
Back
Top Bottom