G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,596
- 36,018
Muwe romantic banah! Pale unapovalishwa pete ya thamani ya uchumba na mwenza wako usiishie hapo! Uwe umeandaa kitu cha kumbukumbu kitakachomfanya mwenza ajihisi kuwa na furaha zaidi siku hiyo! Akimaliza kukuvalisha pete hiyo na wewe mdake umvalishe panapo stahili! Nakuhakikishia utakuwa umezidisha kitu mara dufu!
Hali hiyo itamfanya mwenza kuzidi kukuthamini na kukupenda! Usiishie kuvalishwa tu jiongeze aone kuwa una ubunifu katika upendo!
Nimewapeni elimu ya bure! Narudi kule kwetu kwenye mapambano!
Hali hiyo itamfanya mwenza kuzidi kukuthamini na kukupenda! Usiishie kuvalishwa tu jiongeze aone kuwa una ubunifu katika upendo!
Nimewapeni elimu ya bure! Narudi kule kwetu kwenye mapambano!