JosephNyaga
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 291
- 232
Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=
Hehehe huu ubinifu ni sheedahMKUU BAJETI YOTE YA NINI HIYO?
KAMA ULIKUWA HAUJUI BASI WANAWAKE HUTEKWA NA VITU VIDOGOVIDOGO SAANA..!
mimi nakushauri kama bado haujawahi kusex nae basi usimnunulie nguo za ndani (hii ni ni kwa wale mabinti wenye maadili au dini)
bali mnunulie pedi kama haujawahi kumnunulia,
unajua unaweza ukamnunulia nguo ya ndani na asiivae cuz bado haujawahi kuziona nguo zake za ndani anazopendelea kuzivaa,
na unaweza ukamnunulia uwa na asilipende au labda alishawahi kupewaga mauwa mengi hivo hatokuona wa pekee,,
unaweza ukamnunulia msosi akawa ameshiba au akawa haupendi ivo akawapa watu wengine waule.
LAKINI HAKUNA MWANAMKE ALIYEKAMILIKA AMBAE HATUMII PEDI,
Hatakama ataiweka ila ipo siku ataitumia tu.
skiza, wanawake wanapenda sana mtu anayejua kuwajali,
hivo ukimnunulia baadhi ya vitu utamfanya akuone wapekee zaidi cuz ni zawadi adimu kuipokea.
Na atakuona unamjali zaidi.
Au Kama hiyo njia ulishawahi kuitumia SEMA NIKUPE NYINGINE,
ZIPO ZAWADI NYINGI NA VIPO VITU VINGI SANA AMBAVYO UKIMFANYIA MWANAMKE ATAKUONA WAPEKEE,
mapenzi ni ubunifu mkuu.
Hakuna kinachoshindikana...kikubwa ni ULE UPENDO TU,Hehehe huu ubinifu ni sheedah
Mkuu mnunulie hii kitu hapa hatakuacha milele..Sio mke wangu bado ni ule uchumba wa mwanzo tu. Naombeni mawazo yenu nimchukulie zawadi gani mpenzi wangu huyu ili kuonyesha kumjali kwa siku muhimu kama hii. Bajeti yangu ni sh 30,000/=