Punyeto sio tendo la ndoa

Punyeto sio tendo la ndoa

The seer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
407
Reaction score
690
Karibu asilimia 90 ya vijana wa kiume na asilimia 70 ya vijana wa kike hujichua au kupiga punyeto.na baadhi ya watu wazima huanza punyeto wakiwa wazima au huendelea na kupiga punyeto pamoja na kufanya tendo la ndoa .Punyeto ni kitendo cha kujistarehesha kwa kutumia viungo vya uzazi binafsi bila ya mtu wa jinsia tofauti.Nchi nyingine hutengeneza vifaa mfano wa uume na uke bandia na watu hununua vifaa hivyo madukani na kutumia wapendavyo.
Inasemekana Dada Fulani alizoea kupiga punyeto sana hata akatoboa matundu kwenye chupi zake zote.hata akiwa ndani ya basi.ofisini. anajichua.watu wengine hujichua kwa sababu ya kuona aibu au hofu ya kuwatafuta watu wa jinsia tofauti na kujamiana nao kawaida.na wengine hukwepa magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi au hofu ya kubeba mimba kwa upande wa wasichana.wanaume hutumia sabuni na wanawake hutumia vitu kama ndizi, mishumaa au karoti au tango mradi tu kuigiza jinsi uume ufanyavyo ukiwa ndani ya uke.
KARIBU KWA MICHANGO ZAIDI
 
mada za hivyo jf zipo zaid ya kumi japokuwa sina muda mrefu jf but nilizionaga.
 
Punyeto ni tendo la mkono,mbona iko wazi mkuu.
 
Karibu asilimia 90 ya vijana wa kiume na asilimia 70 ya vijana wa kike hujichua au kupiga punyeto.na baadhi ya watu wazima huanza punyeto wakiwa wazima au huendelea na kupiga punyeto pamoja na kufanya tendo la ndoa .Punyeto ni kitendo cha kujistarehesha kwa kutumia viungo vya uzazi binafsi bila ya mtu wa jinsia tofauti.Nchi nyingine hutengeneza vifaa mfano wa uume na uke bandia na watu hununua vifaa hivyo madukani na kutumia wapendavyo.
Inasemekana Dada Fulani alizoea kupiga punyeto sana hata akatoboa matundu kwenye chupi zake zote.hata akiwa ndani ya basi.ofisini. anajichua.watu wengine hujichua kwa sababu ya kuona aibu au hofu ya kuwatafuta watu wa jinsia tofauti na kujamiana nao kawaida.na wengine hukwepa magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi au hofu ya kubeba mimba kwa upande wa wasichana.wanaume hutumia sabuni na wanawake hutumia vitu kama ndizi, mishumaa au karoti au tango mradi tu kuigiza jinsi uume ufanyavyo ukiwa ndani ya uke.
KARIBU KWA MICHANGO ZAIDI
"Punyeto Inawabeba sana vijana wetu ndomana hadi leo bado wapo hai"
 
Inasaidia hata wanandoa kujikinga na michepuko km mwenza yupo mbali
 
Si zuri kihivyo na kuendelea kulipigia makofi na vigelegele...! Mind you, ndio chanzo kikubwa kwa wale wanaoingia kwenye mahusiano ya kimapenzi (hapa namaanisha ndoa rasmi) kuvunjika mara kwa mara. Mhusika ataendelea na tabia hiyo ya kupiga PULI hata akiwa na mpenzi wake kwa kuwa hawezi kumtosheleza. Nakili hata mi nishawahi piga sana puli, lakini baada ya kujitambua nikaacha mara moja kwamba lina madhara kisaikolojia.
Kuna mada nimeisoma hapa juzi kuwa raha ya tendo au utamu kama wengi wanavyoliita siku hizi unalo wewe mwenyewe. Haya mambo ya kuwa mdada fulani ni mtamu au sio mtamu ni vile unavyokuwa tayari umeliweka kwe ubongo wako kabla ya tendo lenyewe. Ameendelea kudai mtoa mada kuwa, "hakuna mwanamke wala mwanaume anayeweza kumpa utamu mwingine bali ni hisia tu unavyoziweka kichwani".
 
bila punyele asilimia 80 ya vijana below 18 wangemaliza arvs mahospitalini ambazo ni maalumu kwa wakubwa tu.
 
Back
Top Bottom