shashashaa
Member
- Oct 23, 2015
- 44
- 17
Asilimia kubwa ya wanaume masikini huonyesha mapenzi ya dhati atawahi nyumbani mapema kabla ya saa 2, atakushirikisha mambo yake yote, atakua muwazi, atakusaidia kupika, kubembeleza mtoto siku akikosa hata mia atakwambia vumilia mke wangu ipo siku yatapita mkila ugali maharage mtaridhika kifupi utasema asante Mungu kwakunipa mme mwema.
Sasa baada yakukuzalisha wewe namaisha kumunyookea ataanza kurudi usiku wa manane ukimliza nilikua nimetingwa na kazi au semina, kidogo dogo anaanza kua namarafiki wengi mara anaanza kunywa ukimliza oh rafiki zangu wote wanakunywa wataniona mshamba.
Kwanza sasa ninahela mara simu kila mtu na yake hakuna kugusa ya mwenzake kilaanako kwenda ipo nae akilala anaificha chini ya mto anaanza kuwa msiri, mkali muongo ongo hapo sasa ndo utaijua tabia yake halisi.
Unaanza kusema Mungu mme wangu kapatwa na shetani gani hakuna cha shetani bali ukitaka kujua tabia ya mtu subiri awe na hela dharau zinaanza ohh!Nilikosea kukuoa najuta kukuoa mwanamke gani unagubu mara minahela naweza kukulisha wewe na ukoo wako wotee!Ila sio wote ni baadhi ya wanaume hivi ni kwanini tuelezane.