Kibongo bongo mke mmoja ni kujitesa

Kibongo bongo mke mmoja ni kujitesa

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,932
Reaction score
11,863
Mababu zetu walikuwa na maana sana kuoa wake wengi sisi wanaume miili tofauti na wanawake sasa kukaa na mke mmoja ni kujitesa inatakiwa tuwe tunaoa wake kuanzia wawili na kuendelea kama una uwezo.
 
Mmmh think twice sir!!hali ya babu zako enzi hizooo c kama Leo Mzee utakuwa. Kitimoto kama siyo mshkaki uliochomwa kwenye mafuta
 
Ushaweka condition kama una uwezo, kwa hiyo hilo sio jambo la kila m-bongo
 
Ushasema babu zetu.maisha ya kipindi chao na sasa ni tofauti.mke zaidi ya m1 ni kujiendekeza 2 na mitaa.
 
Huyo mke mmoja tu anakuhenyesha na jinsi maisha yalivyokuwa too expensive... utaweza..!!! au wataka zeeka kabla ya wakati... mtoto mdogo Babu
 
Huyo mke mmoja tu anakuhenyesha na jinsi maisha yalivyokuwa too expensive... utaweza..!!! au wataka zeeka kabla ya wakati... mtoto mdogo Babu
Mwenye uwezo msimzuiee!!
Maisha na gharama zake anazimudu.... Uzee haukimbiliki.... give a trial!!
 
Mababu zetu walikuwa na maana sana kuoa wake wengi sisi wanaume miili tofauti na wanawake sasa kukaa na mke mmoja ni kujitesa inatakiwa tuwe tunaoa wake kuanzia wawili na kuendelea kama una uwezo.

Na milo yenu ya chips kavu na tomato nyingi!!!!!!! mtafia hapo hapo.
 
Ingekua "like" nawezakupa zaidi ya moja ingekua safi
 
Attachments

  • 1390851803022.jpg
    1390851803022.jpg
    16.3 KB · Views: 130
Ukitakaa kujua utamu wa ngoma uingiee ucheze, ebu nipe sababu moja au 2 zilizokua zinafanya ma babu kuoa wake wa2 mpaka4 au wewe mwenyewe utaongeza mke wa pili kwa kigezo gani?
 
Mababu zetu walikuwa na maana sana kuoa wake wengi sisi wanaume miili tofauti na wanawake sasa kukaa na mke mmoja ni kujitesa inatakiwa tuwe tunaoa wake kuanzia wawili na kuendelea kama una uwezo.

umeanza mambo yako kama ya SHEKHE kipozeo
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wengi wana nyumba ndogo waruhusuni waoe hizo nyumba ndogo kuliko kujitesa kwa kuiba.
 
Si mtalaamu wa biblia lakini mfalme suleimani alikuwa ni mtu mwenye hekima na busara na mwenyezi mungu alimpenda sana ila ss alikuwa na wake 700na masuria aka nyumba ndogo 300 jumla ya wanawake 1000 mwisho wa picha aliona ni ubatili mtupu na kujilisha upepo chini ya jua! Kila mwanaume awe na mke mmoja! Km unataka balaa jaribu kumiliki wapenzi wawili!
 
Back
Top Bottom