Yako wapi yale majina mazuri kabla ya ndoa

Kakole

JF-Expert Member
Jul 29, 2015
2,094
1,745
Good evening ladies and gentlemen,

Natumai nyote mko poa kabisa mnaenjoy w'end, siku ya jumamosi au w'end bwana ni nzuri sana maana wale wazee wenzangu wa kerorooo......najua sasahivi wao ndio kwanza kumekucha.

Wakuu bila kuwapotezea mda wenu, nilikuwa natafakuri na wadau wenzangu niliokuwa nao kwenye kikao cha kupata moja moto moja baridi kuwa yale maneno matamu kama mpenzi wa roho, laazizi, swty heart n.k tulokuwa tunawaita wapenzi(wake zetu kwa sasa) kabla ya ndoa yamepotelea wapi? maana mdau mmoja bwana alipigiwa simu na shemeji tukajua tu huyo lazima atakuwa shemeji yetu maana alijibu utafikiri askari magereza anaongea na mualifu ebwanaee.. si mchezo.

Ndugu zangu uwe mwanaume/mwanamke tujitahidi tutumie maneno malaini kwa wapenzi wetu, hata kama mtu alikuwa anajisikia vibaya akiitwa tu yale majina mazuri ya laazizi, mpenzi wa roho, my lov, my Fanta n.k anajikuta anaanza kujisikia vzr kabisa, sio mtu unaacha kutumia hayo majina adimu mpaka siku ukimwita mwenzako anashtuka maana unakuta hajazoea.

enjoy the week end friends.
 
Uwaite majina hayo wavimbe vichwa??
 
Yatupasa kujitahidi kuitana majina ya kimahaba, tusiue majina yakimahaba hujenga upendo
 
Good evening ladies and gentlemen,

Natumai nyote mko poa kabisa mnaenjoy w'end, siku ya jumamosi au w'end bwana ni nzuri sana maana wale wazee wenzangu wa kerorooo......najua sasahivi wao ndio kwanza kumekucha.

Wakuu bila kuwapotezea mda wenu, nilikuwa natafakuri na wadau wenzangu niliokuwa nao kwenye kikao cha kupata moja moto moja baridi kuwa yale maneno matamu kama mpenzi wa roho, laazizi, swty heart n.k tulokuwa tunawaita wapenzi(wake zetu kwa sasa) kabla ya ndoa yamepotelea wapi? maana mdau mmoja bwana alipigiwa simu na shemeji tukajua tu huyo lazima atakuwa shemeji yetu maana alijibu utafikiri askari magereza anaongea na mualifu ebwanaee.. si mchezo.

Ndugu zangu uwe mwanaume/mwanamke tujitahidi tutumie maneno malaini kwa wapenzi wetu, hata kama mtu alikuwa anajisikia vibaya akiitwa tu yale majina mazuri ya laazizi, mpenzi wa roho, my lov, my Fanta n.k anajikuta anaanza kujisikia vzr kabisa, sio mtu unaacha kutumia hayo majina adimu mpaka siku ukimwita mwenzako anashtuka maana unakuta hajazoea.

enjoy the week end friends.
"...Hayo Majina Nyumbani adimu sana, Tunayakuta kwa Michepuko huko siku hizi"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom