Lupamba's grandson
JF-Expert Member
- Jan 9, 2015
- 1,232
- 1,196
kwani kuna haja hasa ya kujibu kila kitu. hamuwezi kupuuzia vingine mpaka muulize kwa kejeli.Sasa unamtangazia nani??
kwani kuna haja hasa ya kujibu kila kitu. hamuwezi kupuuzia vingine mpaka muulize kwa kejeli.
Ha ha ha safi sana mwaka mpya mambo mapya!
Ha ha h hAaa.. Hapo kwenye Valentine lazima uje na thread ya kuumizwa juma3.Hii picha nilipiga kimasihara tu. Ndio imefika hadi huku?? Tena watu wanajitamba nayo.
Amen Afro-ArabicaHongera .. You are Real Man .... huo mfumo ndo wakufuata.. ubarikiwe
Rubii kumbe wewe mtata eehKwani wewe umeshindwa nini kupuuza kejeli yangu??
Hahahaa... I thnk the viceversa is true.
Yani ulivyo na hasira umeweka jero ilochoka kabisa.
The way we live me and my soulmate it's like the world gonna end tomorrow.Ha ha h hAaa.. Hapo kwenye Valentine lazima uje na thread ya kuumizwa juma3.
Kweli eeh safi sanaHii picha nilipiga kimasihara tu. Ndio imefika hadi huku?? Tena watu wanajitamba nayo.