Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ikiwa leo ni siku ya wapendanao ingawaje siyo Utamduni wetu lkn kama yalivyo mambo mengine mengi tumeuchukuwa na kuukubali, sasa nina swali kwa wale waliooa au kuolewa kwa siku kama ya leo, Je kama ungepata nafasi tena kwa mara ya pili bado ungeolewa au kumuoa mwenza wako wa sasa?
Yaani tusema kama labda kuna maisha baada ya kifo kama haya halafu huko ikakubidi utafute mwenza pia bado utaolewa au kumuuoa huyu huyu uliye naye sasa au utabadilisha na kutafuta mwingine?
Yaani tusema kama labda kuna maisha baada ya kifo kama haya halafu huko ikakubidi utafute mwenza pia bado utaolewa au kumuuoa huyu huyu uliye naye sasa au utabadilisha na kutafuta mwingine?
Heri ya siku ya Wapendanao!