Nianze kuwapongeza wale wanaoitumia siku hii kuwakumbuka ndugu na jamaa zao. Hawa wanaonyesha uhalisia na maana ya siku hii.Lakini asilimia kubwa huitumia siku hii kutuma kadi ama zawadi kwa wapenzi, wenza na wachumba. Kundi hili linafanya maigizo tu.
Hawana lolote!Unampelekea zawadi/kadi mpenzi huku ukiwa na meseji za kimapenzi kichwani ama kwenye simu yako za michepuko mingine! Nasema michepuko wala si mchepuko. Wewe dada/kaka amka! Unapigwa changa la macho. Kama unabisha mwambie mbadilishane simu zenu kila mtu akae na simu ya mwenzake siku nzima ya leo.
(Kwa akina kaka tu). Hivi wewe kaka unawaza nini kupoteza muda na fedha zako kununua zawadi unampelekea mdada aliyevaa kimauzo? Kifua robo tatu kipo wazi, amevaa taiti inayozionyesha kunyerokunyero kisawasawa. Huyo ni wako ama wa wote? Kajipaka wanja na shedo mpaka kawa na rangi mbili, kusudi lake nini? Ni kutangaza! Hakuna upendo hapo.
Kwanza umemkuta sealed? Au wajanja washafunua long? Mapenzi mbinguni duniani uzushi (Kwa akina dada tu) hivi wewe dada mpaka huyo kaka anakuja kwako kawapitia wangapi? Na unajua akina dada wakisha funuliwa hata ipite karne siku wakikutana x game linarudiwa kama kawa! Halafu leo unajipendekeza kubeba kizawadi chako eti kwenda kwa valentine wako! Lol! Wajanja wanakung'ong'a tu.
Mapenzi hayaonyeshwi kwa zawadi ama fedha ama ujumbe mzuri ulioandikwa kwenye karatasi (kadi). Na kwanini uamini ama ufurahishwe sana na ujumbe wa karatasi wakati original ipo?Iambie original ikupe ujumbe huo moja kwa moja.
Mwisho Valentine day huongeza mtandao wa wapenzi wengi. Ni siku ya uufuska duniani. Zawadi hununui siku zote? Ujumbe mzuri hampeani siku zote?
Tuwe wakweli huyu ni ibilisi wa ngono ametawala!