Nimekuwa ni mmoja wa watu ambao nikiwa na pesa nakuwa mwepesi sana kupata totozi na nawaburuza kweli kweli ila yote hii ilikuwa ni kwa sababu napata vihela vya kawaida kwa hyo skuwa na malengo...
Kama mkeo au mchumba yako ni mweupe jua kabisa kuna midume zaidi ya 20 inamtongoza kwa siku.Njia salama ni wewe Kumuweka karibu mpenzi wako.Kama una Gari mfundishe mapema.Kama hauna inabidi...
Wadu mimi nafikiria kuwa na watoto tuu ambao nitakua nawachukua kwa mama zao na Kuwatunza huku nikiwapa matunzo yote yanayostahili pamoja na Kusoma shule nzuri.
Wengine wanasema siyo vizuri...
Kuna baadhi ya wanawake wa kiswahili sasa sio mabadiliko ya mwili ni sifa au kukomoana, unakuta unatakiwa ulete vitu kibao visivyo vya kawaida, wengine utafikiri anaitwa usiniguse, ndio mahaba...
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa dada zangu na mama zangu wadogo.
Kabla dada hujaamua kuvaa suruari angalia umbile lako kama linaendana na uvaaji suruari.
Najua kina dada wengi wanapenda kuvaa...
Ndugu wana JF mie ni kijana wa miaka 28 naishi Dar. Nimemaliza chuo na kuna sehem nafanya kazi. Natafuta mwanamke wa kuoa coz nimechoka kua single for a long time. Natafta mwanamke aliye serious...
Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri. Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi...
hellow jamaa niko Serious very serious...!
napenda nikutane na Mwanamke Mnene kwelii (bonge,tufe) mweusi ninapenda sana mwanmke wa Namna Hiyooo!!
please please!
nina Miaka 25
mrefu mweusi
elimu...
Wadau,
Mwishoni mwa Mwezi Disemba mama alikuja hapa Dar na mgeni, walifikia kwangu, mgeni mwenyewe ni binti wa kama miaka 20 hivi, nilishangaa maana mama akija Dar hufikia kwa mkubwa wangu, kaka...
Wapendwa,
Nimekuja mnishauri nini cha kufanya.
Mimi ni msichana nina umri wa miaka 26 sasa. Niko kwenye uhusiano ila pamoja na yote kuna kijana nilimuona tangu 2011 akanivutia sana nimemfatilia...
Mimi ni muajiriwa wa JWTZ Kikosi cha 202 Faru Tabora. Nilipokutana na binti mrembo wa ki-singida nikampenda na kumueleza azima yangu kwamba namuitaji kifamilia na akanielewa. Na tukawa ktk...
Huyu Dada anaitwa Enica (mpenzi wangu) nimekuanae kwenye mahusiano kwa muda wa miezi 9 sasa cha ajabu ukitamka neno kufanya mapenzi anageuka mbogo mwanzoni nilivumilia kama miezi mitatu ya kwanza...
Nimekutana na mambo, visa na mikasa..............
Nimekutana na vijaluba vya dunia hii vyoote unavyovijua..............
Dua mbaya zote zilizokuwa zinaombwa juu yangu bila kujua idadi yake...
Habari ya usiku wandugu,
Jamani mimi nimepatwa tatizo leo, kuna binti anafanya kazi na mdogo wangu leo nilienda kumsalimia dogo nikamkuta yupo na huyo mwenzie nae ni muajiriwa wa hapo. Huyo binti...
jamani habari zenu hasa wadada huu ni ujio wenu ,mimi ni mkaka mwenye miaka 32. Ni muhitimu wa ngazi ya shahada, afisa elimu ngazi ya sekondari kwa sasa, na nina imani ya juu ndani ya kristo yesu...
UAMINIFU NDIO KINGA KUU
Simu zimevunja ndoa nyingi za watu. Na mtu akikaa kando ndio anajishangaa. Na kujiuliza ni simu tu au? Kwani simu ni kitu kidogo ambacho ukikidharau hautadumu kwenye ndoa...
Malalamiko ya wanandoa kutokuwa waaminifu miongoni mwao yamekuwa mjadala wa sasa kiasi cha watu kuanza kushutumiana na wakati mwingine kuharibu mahusiano yao na hatimaye kuachanisha mahusiano ya...
You used to call me on my
You used to, you used to
Yeah
You used to call me on my cell phone
Late night when you need my love
Call me on my cell phone
Late night when you need my love
And I know...
ADABU YA MUME KWA MKEWE.
1. Usitangaze udhaifu wa mkeo kwa familia na marafiki, kila mmoja anamtunzia mwenziwe hadhi yake.
2. Usiwe na mtizamo mbaya wala kuzungumza naye kwa hisia kali huwezi...
"Love Yourself"
For all the times that you rain on my parade
And all the clubs you get in using my name
You think you broke my heart, oh, girl for goodness' sake
You think I'm crying on my own...