Wanawake: Kwanini mnasumbua mkiwa na mimba?

Wanawake: Kwanini mnasumbua mkiwa na mimba?

BOB LUSE

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2014
Posts
3,778
Reaction score
3,321
Kuna baadhi ya wanawake wa kiswahili sasa sio mabadiliko ya mwili ni sifa au kukomoana, unakuta unatakiwa ulete vitu kibao visivyo vya kawaida, wengine utafikiri anaitwa usiniguse, ndio mahaba yenyewe?

Hili tatizo lipo sana kwa wanandoa na wale ambao wako kwenye mahusiano yanayotambuliwa hata kama ndoa bado (mwanaume yupo active)
Hivi mmewahi kujiuliza kwanini wazungu, au wabongo waliotelekezwa na wanaume zao,waliofiwa na wenza wao kabla ya kujifungua hawanaga swaga hizo?

Mbona kuna wanawake wengine hawasumbui hivyo?Mnaoigiza acheni hizo! mnatukondesha bure. kwa wanaume wanaopenda hii hali nawapa big up, binafsi napenda 'usungu'.

Samahani lakini kwa jiwe la gizani.
 
Usishangae mtoa mada hajawahi hata kulea mwanamke mwenye mimba ila baada ya kusikiliza nyimbo ya tundaman kaona aandike hapa aonekane na yeye ana mtoto

Ujinga ujinga tu
non sense
 
hawapendi kufanya hivyo its a biological influence
sawa mkuu!.mbona wazungu hawana ujinga huo?.hiyo biology ya waafrika tu wenye wanaume wa kuwapa huo usumbufu?
 
BOB LUSE zahanati umekwenda nae???

1456396465045-jpg.325490
 
Napenda sana mke wangu akiwa na mimba hasa ule usumbufu aisee anakuamsha saa nane usiku anataka kuoga ukichelewe kurudi nyumbani anakubembeleza mpaka unarudi ukifika ana nuna aisee acha watusumbue watoto wana raha yake yaani hata kama ukiwa na stress ukiwa na watoto utacheka na stress zitaisha
 
Mwanaume wa ukweli halalamiki Anajua ni kipindi cha mpito tu tena kifupi mno ni kama changamoto ndogondogo ambazo Anajua "how to overcome them",..

Matokeo ya 4m4 yametoka umepata division ngapi broo!?
 
Napenda sana mke wangu akiwa na mimba hasa ule usumbufu aisee anakuamsha saa nane usiku anataka kuoga ukichelewe kurudi nyumbani anakubembeleza mpaka unarudi ukifika ana nuna aisee acha watusumbue watoto wana raha yake yaani hata kama ukiwa na stress ukiwa na watoto utacheka na stress zitaisha
Ahwwww she is lucky! Keep on the spirit
 
Back
Top Bottom