The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,902
- 19,093
Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa dada zangu na mama zangu wadogo.
Kabla dada hujaamua kuvaa suruari angalia umbile lako kama linaendana na uvaaji suruari.
Najua kina dada wengi wanapenda kuvaa suruari hasa za kubana ili kuonyesha umbile lao, kabla hujavaa angalia kama umbile lako litakaa kwenye suruari ya kubana vinginevyo vaa suruari pana.
Unakuta dada kavaa suruari ukimuangalia tu unaona aibu, suruari haijamkaa unajiuliza huru kakurupushwa au imekuaje.
Kuna mavazi kabla hujavaa angalia na mwili wako, ni vizuri pia mkawa mbaomba ushauri kwa ndugu na majirani zenu kuhusu suruari au nguo ya kubana uliovaa kama imekukaa au la ili ubadili kabla hujaja kutia watu aibu barabarani.
Suruari au nguo ya kubana inamfaa sana mtu mwenye mwili uliojazia jazia neema za allah au mwili proportionate, sio una tumbo kubwa na miguu miembamba na wewe unataka uvae suruari ya kubana, au una maziwa makubwa unavaa kitop cha kubana.
Huu ni ushauri wa bure, kabla hujaamua kuvaa nguo ya kubana au sururuari angalia umbile lako kwanza, kila umbile lina nguo zake za kupendeza, usilazimishe nguo flani kisa umeona mwingine akivaa anapendeza, pia ukishavaa omba ushauri kwa ndugu na majirani wakupe maoni kabla hujatoka kwenye hadhara.
Sharing is caring.