idrisabizzy
Senior Member
- Dec 5, 2015
- 112
- 48
Ndugu wana JF mie ni kijana wa miaka 28 naishi Dar. Nimemaliza chuo na kuna sehem nafanya kazi. Natafuta mwanamke wa kuoa coz nimechoka kua single for a long time. Natafta mwanamke aliye serious na relationship.