chifusongea
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 164
- 154
Kama mkeo au mchumba yako ni mweupe jua kabisa kuna midume zaidi ya 20 inamtongoza kwa siku.Njia salama ni wewe Kumuweka karibu mpenzi wako.Kama una Gari mfundishe mapema.Kama hauna inabidi umdekeze hadi akihisi akikukosa anapungukiwa na kitu.