Wanajamvi,wadau wote,wanaintellegensia ya mapenzi,mchunguzi huru na wengine wote,
Hivi ni kwanini mabibi harusi wa zamaini siku ya kuolewa walikuwa wakilia na kutoa machozi tofauti na wa sasa...
Heshma kwenu Wakuu.
Kuna jambo naomba mnipe ufafanuzi kwanini hua inatokea hivi.
Hii ni hasa kwa Wanawake.
Tunaeza kua Bestfriends na kila mtu ana Mpenzi wake na maisha yanasonga vizuri tu...
KUSEMA NA KUFANYA
Wote tunajua kusema sana kuliko kufanya.
Kuna watu wanasema na wanafanya, ila changamoto inaanzia hapa, wanachosema wanafanya sio kile wanachokwenda kufanya.
Wanasema hiki na...
Kuna zoezi linaloendelea la kukamata madada poa wateja wao jijini Dar es Salaam, zoezi hili lilikuwepo katika awamu za serikali zilizopita.
Tofauti ni kwa awamu hii inaonekana wapo serious sana...
Habari za jumapili wakuu,
Mimi tangu jana nahisi kummiss mpenzi wangu wa zamani niliyepotezeana nae mwaka jana mwishoni, nifanyaje kuondoa mawazo yake kichwani mwangu? Nitumie njia ipi kumtoa...
Mwanamke kuvaa nguo nyepesi mbele ya mahaarim zake nyumbani.
Swali: Inajuzu kwa mwanamke kudhihirisha kitu katika mwili wake kama kisigino chake, kifua chake na mfano wa hayo mbele ya Mahaarim...
Habarini humu ndani. Najua dada zetu wengi wakiona wametongozwa na wazungu (especially wazee) wanafurahi sana na kukimbilia kufunga nao ndoa ili wapate viza za kwenda nje. Kumbe mambo yako tofauti...
Yapo matukio ambayo yanatia ukakasi kuyazungumza lakini hili ni jambo ambalo limetokea katika shule fulani wilayani Muheza.
Huyo mzee amebahatika kuzaa watoto wakike 4 na wakiume 1 wa mwisho na...
Habari za leo ndugu wana MMU,
Ni karibu miezi nane imeishatoka tulipoachana na mpenzi wangu kutokana na sababu mbalimbali hasa mimi nikiwa ndio chanzo cha sababu hizo.
Tumekuwa tukiendelea...
Habari wana jf,Mimi ni kijana wakiume ,naishi dar na nimeajiriwa na taasisi moja ya kifedha,nahitaji mchumba sifa,
1.awe mweusi na awe mnene wastani
2.Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 27
3.Awe...
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - wa Angola, wa Rundi na wa Nubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - wa...
Zamani kidogo ilikuwa nikawaida kutambiana kwamba labla mi nadate na fulani, naye anakuwa anakuambia mi mwenyewe nipo na fulani.
Ila kwa sasa naona maisha yamebadilika sana, kila mtu anajiegesha...
Mimi kijana mwenye miaka 30 nahitaji mpenzi ambaye kama akiqualify vigezo aje awe mke na mama wa watoto wangu.
Awe musilamu
awe angalau anashughuri yoyote inayomuingizia kipato
Hata kama amezaa...
Habari waungwana,
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija ninakoishi anafikia kwangu.Yeye...
Nikijaribu kujifikiria kama mwanaume naona kidogo makosa mengine tunayatafuta ndio maana hatufurahii ndoa zetu.
Na haya yanapelekea hawa wanawake wajionee wapo juu kwetu
Tunaoa sana kwasababu...