Usaliti ni Asili ya Mwanaume
Ni asili ya mwanaume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja au kutoka nje ya ndoa na hata mahusiano. Mara kwa mara nimewasikia watu wakisema hivi na nimekuwa nikijiuliza...
Leo tunazungumzia ni kwanini wanaume wengi hupenda kutoka nje ya ndoa zao ama kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
Haimananishi kuwa mwanaume anapotoka nje ya mwenzi wake amemchoka ama hamtaki...
Karatasi nakamata,kueleza yalosibu
Nna kipande cha kashata,nlichonunua Bububu
Kashata yenye utata,utamuwe wasulubu
Nimeziona kashata,ya bububu ni pekee
Kitaka kula najing'ata,kwa utamu so...
Mimi ni kijana mwanaume mwenye miaka 28, nahitaji msichana kwa ajili ya kufunga ndoa. Umri kati ya 20-28, awe mcha Mungu. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane PM.
Najua ulinipenda na ulipenda mapenzi yetu yafike mbali zaidi lakini kwangu haikua hivyo.
Nilikuona rafiki tu, kwanza umri wetu unafanana. Wewe mwanamme una safari ndefu kufikia malengo yako so...
Ninakusaidia kwa kila jambo unaloniomba na wala sikuiti masikini waliombaomba kwangu.
Ila inatokea siku nakuwa siko fresh unaponiomba nikutatulie shida zako. Ila baada ya kushukuru unatoa ruga...
Jana nimeondokai na kumwanchia dada moja ambaye alikuja kwenye appointment na rafiki yake bilakunishirikisha,nilishangaa kila mmoja anaagiza kuku mzima! na Henken.
Nilikuwa na Pesa za kutosha...
Mimi na mzazi mwenzangu tumeishi miaka sita na tuna watoto wawili, mkubwa yuko darasa pili.
Bahati mbaya nimegundua mwenzangu anachepuka na mwanaume ambaye tunaishinaye maeneo ya jirani, pia...
Wakuu,
Nipo kwenye lindi la mawazo kuhusu housegirl wetu ambae nilimpa mimba kwa bahati mbaya. Mimi nina mke na familia yangu huyu binti sasa anataka nimfanyie kitu mbaya maana mimba hataki...
Wanaume huwa na sababu nyingi za kuwataka wanawake kimapenzi, lakini kubwa kuliko yote ni tamaa za kimwili, mengine huja baadaye.
Siku hizi mambo yamebadilika, hata wanawake huwa tunawatamani...
zamani wanawake walikuwa wanahangaika huku nna huku kumridhisha mwanaume. wanaenda kwa waganga, wanagombana, wanajinyenyekeza, wanahudumia kama watumwa. na waliishi kwa mashaka makubwa. siku hizi...
Wewe dada umealikwa na mpenzi wako small meating tu mkutane either hotel au sehemu nyingine, iweje uende na marafiki zako kibao kama vile mnaenda part? Unapokuwa na apointiment na mpenzi wako...
Iwe ni mara yako ya kwanza,au umezoea kutoka na mtu wa jinsia tofauti lazima kuna vitu uzingatie ili usiharibu ladha na maudhui ya mtoko wako.Kwani ni ukweli ulio wazi kuwa mpaka umekubali kupata...
Dada zangu,kaka zangu na wadau wote wa Jf,naombeni mnisamehe,nimekuwa kihelehele kutafuta wachumba mitandaoni hasa kwa humu sasa nimejifunza.
Naahdi kurudi shule tena,na kamwe sitapost thread...
A mistake is an accident. Cheating and lying are not mistakes, they are intentional choices. Stop hiding behind the word mistake when you get caught.
Kukosea ni ajali. Kudanganya kimapenzi au...
Pamoja na mapungufu ya kawaida ya kibinaadamu bado wanapa heshima kubwa sana dada/mama zetu. Mwanamke atahakikisha mume,watoto na wanafamilia wanaishi vizuri kwa kuwapa kile kinachostahili...
It is Good Friday,
DASH DASH VACATION
I have just landed from Joberg and guess who met Kasie on a flight..... Henry King. ........ oooooooooo
Don't ask where I am right now cause am kidnapped by...