Sababu za wanaume kutongoza

tethering

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
331
139
Wanaume huwa na sababu nyingi za kuwataka wanawake kimapenzi, lakini kubwa kuliko yote ni tamaa za kimwili, mengine huja baadaye.

Siku hizi mambo yamebadilika, hata wanawake huwa tunawatamani wanaume na kuwatokea.

Leo nitazungumzia sababu kadhaa za wanaume kuwatongoza wanawake. Sababu hizi zimetokana na utafiti nilioufanya kwa wanaume kadhaa wanaowatokea wanawake.

Anakujaribu
Mara nyingi wanaume wanapomtokea mwanamke huwa wanajaribu licha ya kwamba wakati mwingine hujikuta wakikubaliwa bila ya kutarajia. Wengi huwa wanatongoza kulingana na mazingira si kwamba amependa au ametamani, huwa wanajifurahisha lakini ukikubali hawakuachi.

Tamaa
Tamaa ni sababu kubwa ya wanaume kutongoza. Uzuri, mvuto wa mwanamke husika huwa na nafasi kubwa kwa mwanamume kuvutiwa hadi akatongoza. Hii hutokana na ukweli kuwa kiasi kikubwa cha wanaume anapotongoza malengo yake inakuwa kukupata na kuweza kufanya mapenzi na mwanamke husika, masuala ya ndoa na kudumisha penzi huja baadaye.

Kupenda
Suala hili hutokea mara chache mno, kigezo cha kwanza cha mwanamume kutongoza huwa ni tamaa kupenda huja baadae.

Kipoozeo
Wanaume wengine huwa na uhaba wa muda mrefu (kutu), hivyo anapokutana na msichana yeyote yule hujikuta akimtokea ili mradi tu amalize haja zake baada ya hapo hakutafuti tena.

Hamaanishi
Kuna wanaume wengine huwa wanawatongoza wanawake si kwa lengo la kushiriki tendo la ndoa, bali anajaribu kucheza na hisia za mwanamke. Wengine hufanya hivyo ili kuwaonyesha wanaume wenzao kuwa ana uwezo mkubwa wa kutongoza, kujionyesha kuwa yeye ni mwanamume asiyekataliwa na yeyote yule.

Kukuoa
Mara nyingi mwanamume anayekufata kwa lengo la kuoa huwa ameshamchunguza mwanamke kwa kipindi kirefu, aidha kwa kuwatumia watu wa karibu na huyo binti au yeye mwenyewe kuchunguza nyendo zako bila ya kufahamu.

Ukiona mwanamume anakufuata na kutangaza kufunga ndoa nawe kwa kipindi kifupi, ujue umetimiza vigezo anavyotaka kwa mke wake, kama vile utulivu, upole, usafi, kufanya kazi na heshima kwa watu wanaokuzunguka. Lakini tambua kuwa hawezi kufunga ndoa na wewe kabla ya kushiriki tendo la ndoa, ni wanawake wachache mno wenye bahati hiyo.

Uhusiano
Wanaume wengine wanapenda kuwa karibu na wanawake. Anapenda kuongozana na mwanamke hata kama hawashiriki tendo la ndoa, wakati mwingine anaweza kuwaambia marafiki zake kwamba ana uhusiano kimapenzi na fulani licha ya kwamba hajawahi kuuona mwili wake. Huwa anautunza huo uhusiano mpaka siku itakapotokea wamekutana kimwili, iwe kwa bahati mbaya au kwa kupenda.

Kukutumia
Wanaume wengine hupenda wanawake ambao wana uwezo kifedha. Kwamba hata ikitokea ana shida mwanamke awe tayari kumhudumia. Haoni tabu siku ya kwanza mmetoka akauchuna ili mwanamke alipe bili.

Kukuzalisha
Wanaume wa namna hii si wengi, lakini wapo. Wao lengo lao ni kupata mwanamke wa kuzaa naye na si kufunga ndoa au kudumisha penzi.

AUTHOR FRANCE
MAKALA GAZETI LA MTANZANIA
24MARCH,2016
 
Kabla sijasoma source akili yangu nilidhani ni magazeti ya Shigongo..
Mtanzania?
Mhhhhhhhh
naona habar hii inawashtua wengi kuandikwa kuandikwa na gazeti hili tajwa jambo ambalo kiukweli hata mm nilishtuka sana kuipata pale ila kwa kuwa kilichojadiliwa mule niliona kwa 85% kina akisi ukweli niliokuwa naujua,niliamua kushare na wengine wajue kama walikuwa hawajui hayo na kuwakumbusha wale waliokuwa wanajua
 
Wanaume huwa na sababu nyingi za kuwataka wanawake kimapenzi, lakini kubwa kuliko yote ni tamaa za kimwili, mengine huja baadaye.

Siku hizi mambo yamebadilika, hata wanawake huwa tunawatamani wanaume na kuwatokea.

Leo nitazungumzia sababu kadhaa za wanaume kuwatongoza wanawake. Sababu hizi zimetokana na utafiti nilioufanya kwa wanaume kadhaa wanaowatokea wanawake.

Anakujaribu
Mara nyingi wanaume wanapomtokea mwanamke huwa wanajaribu licha ya kwamba wakati mwingine hujikuta wakikubaliwa bila ya kutarajia. Wengi huwa wanatongoza kulingana na mazingira si kwamba amependa au ametamani, huwa wanajifurahisha lakini ukikubali hawakuachi.

Tamaa
Tamaa ni sababu kubwa ya wanaume kutongoza. Uzuri, mvuto wa mwanamke husika huwa na nafasi kubwa kwa mwanamume kuvutiwa hadi akatongoza. Hii hutokana na ukweli kuwa kiasi kikubwa cha wanaume anapotongoza malengo yake inakuwa kukupata na kuweza kufanya mapenzi na mwanamke husika, masuala ya ndoa na kudumisha penzi huja baadaye.

Kupenda
Suala hili hutokea mara chache mno, kigezo cha kwanza cha mwanamume kutongoza huwa ni tamaa kupenda huja baadae.

Kipoozeo
Wanaume wengine huwa na uhaba wa muda mrefu (kutu), hivyo anapokutana na msichana yeyote yule hujikuta akimtokea ili mradi tu amalize haja zake baada ya hapo hakutafuti tena.

Hamaanishi
Kuna wanaume wengine huwa wanawatongoza wanawake si kwa lengo la kushiriki tendo la ndoa, bali anajaribu kucheza na hisia za mwanamke. Wengine hufanya hivyo ili kuwaonyesha wanaume wenzao kuwa ana uwezo mkubwa wa kutongoza, kujionyesha kuwa yeye ni mwanamume asiyekataliwa na yeyote yule.

Kukuoa
Mara nyingi mwanamume anayekufata kwa lengo la kuoa huwa ameshamchunguza mwanamke kwa kipindi kirefu, aidha kwa kuwatumia watu wa karibu na huyo binti au yeye mwenyewe kuchunguza nyendo zako bila ya kufahamu.

Ukiona mwanamume anakufuata na kutangaza kufunga ndoa nawe kwa kipindi kifupi, ujue umetimiza vigezo anavyotaka kwa mke wake, kama vile utulivu, upole, usafi, kufanya kazi na heshima kwa watu wanaokuzunguka. Lakini tambua kuwa hawezi kufunga ndoa na wewe kabla ya kushiriki tendo la ndoa, ni wanawake wachache mno wenye bahati hiyo.

Uhusiano
Wanaume wengine wanapenda kuwa karibu na wanawake. Anapenda kuongozana na mwanamke hata kama hawashiriki tendo la ndoa, wakati mwingine anaweza kuwaambia marafiki zake kwamba ana uhusiano kimapenzi na fulani licha ya kwamba hajawahi kuuona mwili wake. Huwa anautunza huo uhusiano mpaka siku itakapotokea wamekutana kimwili, iwe kwa bahati mbaya au kwa kupenda.

Kukutumia
Wanaume wengine hupenda wanawake ambao wana uwezo kifedha. Kwamba hata ikitokea ana shida mwanamke awe tayari kumhudumia. Haoni tabu siku ya kwanza mmetoka akauchuna ili mwanamke alipe bili.

Kukuzalisha
Wanaume wa namna hii si wengi, lakini wapo. Wao lengo lao ni kupata mwanamke wa kuzaa naye na si kufunga ndoa au kudumisha penzi.

AUTHOR FRANCE
MAKALA GAZETI LA MTANZANIA
24MARCH,2016
Du!
 
Mwandishi hana point za msingi japo amejarbu kudadavua lkn hakugusa penyewe sasa waambie watu kuwa SABABU KUBWA YA WANAUME KUWATONGOZA WANAWAKE NI KWAMBA WANAWAKE WENGI WAPO UCHI NA KUPELEKEA KILA MWANAUME KUFANYA ATAMAN KUZINI NAYE AYO YOTE ULIOYATAJA NI MBWEMBWE TU!
 
wewe ndo umesema ukweli huyu mwandishi ameficha jibu la msingi ambalo wewe umelitoa
 
nyie ndio mnaofanya mapenzi yawe kizungumkuti....kwenye mapenzi hakuna mambo ya ku-copy na ku-paste kila mtu muache atumie akili zake mwenyewe
 
Hivi kwan wanawake hawanaga tamaa za kimwili??
binafsi naamini tamaa zipo pande zote ke na me sema utamaduni za kiafrika zina mfavour mwanaume kuzi expose ili amalize kiu,lakin kwa upande mwingine hazimpi mwanamke kipaumbele kujieleza kwa mwanaume sana. Tamaa zipo kwote , ndo maana wanawake wengi leo wanalala mika hawafikishwi ,ukisoma biblia kitabu cha mwanzo 39:7 nakuendelea utaona mke wa bosi avyotaka kuzin na kijana kwa kumlazimisha alipokataa aliishia gerezani kwa kwa kosa la kusingiziwa. So wote tamaa zipo sana. Kwa ulimwengu wa sasa yeyote anaweza kuexpose feelings. Sema inawezekana kuvaa nguo ambazo zinaonyesha maungo kwa 90% ndo ndo njia ya kuwasilisha tamaa walizonazo
 
Siamini kuwa umesahau hii point.
Wengine wanatongoza kwa kuwa kapata kazi mpya, cheo, hela imeongezeka sasa aitumie na nani?
Ndani ya nyumba mama yoyo kibonge kutokana na uzazi abebeki tena, sasa kakutana na kimisss anataka cha kujisevia sasa afanyeje? Na vile siku hizi muna vitambi vimesababisha kadushe kapungue urefu sasa ndo hivyo mama yoyo nae ndo kama hivyo.

Inabidi ajirushe ndo mara nyingi inavyokua.

Lakini wengine walioa kisa wametoka mbali sasa kazini kakutana numberless kwa nn asitongoze??

Mwisho kabisa mwanaume ambae hana hela siku zote hana genye hii ndivyo ilivyo haiitaji usome saana upewe vyeo uwe na phd mara dr mara nini lugha ya malkia chenga.
 
Back
Top Bottom