Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,944
zamani wanawake walikuwa wanahangaika huku nna huku kumridhisha mwanaume. wanaenda kwa waganga, wanagombana, wanajinyenyekeza, wanahudumia kama watumwa. na waliishi kwa mashaka makubwa. siku hizi imekuwa kinyume chake. wanaume tumekuwa obsessed na kumridhisha mwanamke. hofu ya ubamia, hofu ya kutowaridhisha na hofu ya kugongewa vimetawala. watu wanakula mihogo mibichi na nazi mbichi, watu wanakunywa konyagi bila kupenda. watu wanahonga na kulamba papuchi kama mbuzi! nini kimetokea? wapi tumekosea?