Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina nyumba ndogo ambaye nimezaa naye mtoto mmoja,namhudumia kwa kiasi kikubwa na chumba nimempangia. Juzi kati akaniaga kuwa anaenda kumsalimia mama yake,nikampa na nauli mida ya mchana...
2 Reactions
137 Replies
12K Views
Nimesoma naye primary na kwa uhohehahe wangu nilimwogopa kumtokea. niliendelea kusoma kwa bidii hadi chuo kikuu na kuajiriwa serikalini,baada ya hapo nikaamua kumtafuta, kweli nilimpata ila tayari...
0 Reactions
71 Replies
9K Views
Wana jf naandika kwa masikitiko makubwa Nimepata mpenzi nimekutana nae kama mara nne lakin sijamridhisha hata mara moja! baada ya kukaa nae kupiga story akaamua kuniambia alikuwa ana danganya...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Wanajamvi heshima kwenu... Basi weekend hii nikiwa kwenye ufukwe mmoja hapa Jijini mida ya saa tatu za usiku nipo nazugazuga ufukweni ikaja gari yenye namba za DFP,ilikuja kwa mwendo mkali sana...
0 Reactions
76 Replies
16K Views
Ex anaeza kupasha kiporo muda wowote na mpnz wako Ata kama waliachana kwa ugomvi lakn they had good moments pia, so wakimiss watakumbushia tu
8 Reactions
107 Replies
12K Views
Mambo vipi wadau, Leo ngoja niseme na kinadada ambao wanapendeza sana ila tatizo wana vitambi aisee. Nawaomba dada zangu punguzeni kula vyakula ambavyo vinawafanya mpate vitambi mnapendeza sana...
0 Reactions
78 Replies
12K Views
Hi there, I am man from Tanzania, and I am 23years of age, 65kg and 178cm tall. By now am still a student attending my studies at a certain institute at Dar es salaam. I am a caring, truthful...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello, Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.Napenda rafiki huyo awe mkristo mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye malengo ya maisha. Asizidi miaka...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Tulipotoka chuo mwanzoni mwa miaka ya 2000 mimi na rafiki yangu kipenzi tulipata kazi nzuri na yenye kulipa vizuri sana, kazi hiyo tulitafutiwa na Mchumba wa huyo shosti wangu, tulipomaliza...
13 Reactions
16 Replies
7K Views
Wandugu nawasalimu Mchumba ambae ninaishi nae ni mjamzito wa miezi karibia nane sasa anapata maumivu tukikutana kimwili, tumeacha kukutana kama miezi 2 nyuma sababu hiyo Sasa mm Hali yangu...
1 Reactions
94 Replies
10K Views
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao. 1. Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao 2. wasichana warefu huwa...
1 Reactions
86 Replies
44K Views
Kwanza nipende kuwashukuru members wa JF kwa ushauri mzuri mnaotoa kwa wale wanao omba ushaur naumia mgongo nkimaliza tendo la kungonoka
2 Reactions
59 Replies
6K Views
RIWAYA: PUMBAZO NA: George Iron Mosenya SEHEMU YA KWANZA ILIKUWA yapata majira ya saa tatu na dakika zipatazo kumi na mbili kwa mujibu wa saa yangu ya mkononi. Nilikuwa nimegida chupa za pombe...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Habari wakuu, Hii kitu imenitokea kwangu na ninahisi mwanaume mwezangu simtendei haki, kuna binti mmoja nilikuwa naye kwenye mahusiano kipindi cha nyuma, tukapotezana takribani miaka miwili...
3 Reactions
45 Replies
6K Views
What do girls first notice in a guy as soon as they set eyes on him? The shoes? The car-keys? The body language? These are the first 5 things a girl notices in a guy the first time she meets...
7 Reactions
117 Replies
17K Views
imetokea kasumba kuona wengi wakitoa ushauri kwa wanaotaka wapenzi kuwa ni vyema wakaenda kujaribu bahati yao facebook ama kwingineko. Mimi nawaambia hata hapa ni sokoni,watu wapo kazini,wateja...
8 Reactions
191 Replies
12K Views
"Yuko wapi? Yuko na mwanamke mwingine? Inakuwaje ameniweka hapa muda mrefu hivi? Mke mwenye hasira alikuwa akijiuliza wakati akimsubiri mumewe. Mahusiano yake na mumewe hayakuwa mazuri kwa miaka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa au mahusiano yoyote, nafahamu mnatafuta pesa kwa kila namna asubuhi mpaka jioni, kwa ajili ya hao mnaowaita wapenzi wenu! Swali hili huwa linaniumiza kichwa sana…...
7 Reactions
37 Replies
4K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu, Nimekuwa nikisikia tu watu wakisema ama kwenye vyombo vya habari kuhusu wanaume kupigwa na wanawake, lakini jana nimejionea kwa macho, jinsi bwana alivyokuwa...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Dahh, Wakenya ni hatari sana. Yaani Mbaba ameamua kuvulia kwenye tenga. Na mbaya zaidi huyo Samaki ni Mtoto wake. Inatia Kinyaa pale Samaki anapoanza kusema "I Love my Father so much...." Ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…