bidam90
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 273
- 202
Wana jf naandika kwa masikitiko makubwa
Nimepata mpenzi nimekutana nae kama mara nne lakin sijamridhisha hata mara moja! baada ya kukaa nae kupiga story akaamua kuniambia alikuwa ana danganya ili asinichoshe kwani nilikuwa najilazimisha na kujikaza tu wakati mwengine nilitumia mbinu nyengine kama vidole ili kumfikisha ila alikuwa ana fake kufika!!sababu ya yote ni kuwahi kufika mapema nikiingiza namwaga tena kagoli kamoja.
Kwasasa kakataa kabisa kukutana nami kwani namtesa kwa kumuacha njian na kufikiria kufanya mda wote!Nimepewa likizo mpaka pale nitakapokuwa vizuri
Hakuna kitu kinauma kama kutokumfikisha mwanamke,wadada ni vyema kuwa wawazi kwa w'me wenu kuliko kumsaliti au kutafuta mwengine wa kukuridhisha kabla hamjapata ufumbuzi wa tatizo kwasasa nimeanza zoezi na kula vyakula vya kuongeza nguvu (nimeacha punyeto,chipsi na soda) sitaki kutumia njia za mkato.
Nitaleta mrejesho baada ya wiki 1