BOSS na DEREVA laivu....!!!!

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,504
2,250
Wanajamvi heshima kwenu...
Basi weekend hii nikiwa kwenye ufukwe mmoja hapa Jijini mida ya saa tatu za usiku nipo nazugazuga ufukweni ikaja gari yenye namba za DFP,ilikuja kwa mwendo mkali sana mpaka nikashtuka,mara akashuka jamaa mmoja mfupi kiasi na kitambi cha kiaina akashuka akacheki pande zote pako kimya watu wapo mbali kidogo.akafungua mlango wa Abira akatoka mwanamke kwa mbali sikuweza kutambua rika lake,alivyoshuka tu akainama kwenye siti yake aliyoshuka akapandisha sketi yake Loooh!! Wakaanza ku-DO jamaa kasimamia kweli si mchezo.

Kama ujuavyo Askari wa Bongo kumbe wamejificha sehemu wanasikilizia tu haikupita muda mrefu hawa hapa alafu wanakamera kabisa!ndo kuanza kupiga picha sasa wale wapenzi wawili jamaa nikaona pale pale kaishiwa na nguvu hata suruali anashindwa kupandisha anaangaika balaa.Polisi wa Kibongo tena wamekukuta laivu!!!

Basi ndo na mimi kusogea pale kusikiliza kinachoendelea.Jamaa anasema yule mama ni Boss wake na wametoka Arusha wamekuja kwenye kikao wamefikia Hotel ipo Sinza huko sasa hapo walikuwa wamezidiwa tu ndo maana wakaamua wamalizane hapo kwanza,kama ujuavyo POLISI hawataki ushahidi wakati wa kuchukua Mlungula basi nikasogezwa mbali kabisa baada ya kama dakika ishirini hivi nikaona BOSS na DEREVA hao wanaondoka polisi wamebaki wakaingia chimbo tena.

Sasa nikawa najiuliza hawa walishindwa kuvumilia kweli mpaka Hotelini au ndo stimu zikishapanda hakuna jinsi?
Naomba mawazo yenu kuhusu hili swala..
 

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,877
29,706
Hayo ndiyo mapenzi matamu sana, ndiyo maana unaambiwa hata ukiwa na mkeo kama mmejisikia sehemu yeyote unayoona na faragha do it
kweli kabisa na mapenzi ya hivyo yananoga sana yaani
chezea sex in the beach
 

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,504
2,250
Hayo ndiyo mapenzi matamu sana, ndiyo maana unaambiwa hata ukiwa na mkeo kama mmejisikia sehemu yeyote unayoona na faragha do it
Sawa sasa turudi kwenye hii mada inamaana jamaa hakupewa info vizur kuhusu hilo eneo kwamba kuna wajomba au ukijiskia tu unafanya sehemu yoyote bila kuangalia usalama?
Na unaongeleaje uhusiano huu usio rasmi kati ya Boss na Dereva?
 

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,041
3,595
nahisi yule mama ni changudoa tu jamaa kasema hivyo ili awatishe polisi
 

Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
2,512
Chezeya genye weye....genye hazijui beach wala njiani...ukisema mdogo uliona mshedede wake?
Na huyo mama ni mtu mzima kweli ila yule jamaa anaonekana ni mdogo na nasikia pesa iliwatoka ndefu tu.
 

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,504
2,250
nahisi yule mama ni changudoa tu jamaa kasema hivyo ili awatishe polisi

Mkuu hata mimi nilihisi hivyo ila baada ya kusogea karibu na kumuona yule Mama ni mtu mzima na anaonekana ndo mwenye hela kwasababu yeye ndo alikuwa ana bargain na wale askari jamaa kasimama pembeni tu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom