nyamva
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 244
- 155
Nimesoma naye primary na kwa uhohehahe wangu nilimwogopa kumtokea. niliendelea kusoma kwa bidii hadi chuo kikuu na kuajiriwa serikalini,baada ya hapo nikaamua kumtafuta, kweli nilimpata ila tayari alikuwa keshazalishwa watoto wawili wa baba tofauti.
Bado niliendelea kumpenda nikaamua nimuoe nilimuaproach akasema yuko single kwa sasa nilifurahi mno aliponikubalia akaniahidi kunitembelea kazini kwangu. Kweli alikuja na wafanyakazi wenzangu walinisifu sana kumiliki kifaa kizuri vile ghafla baada ya wiki moja nilipigiwa simu na mtu akidai ni mume wa dada huyo.Nilipomhoji huyo dada alikana uhusiano huo.
Niliamua kumrudisha kwanza ili nipeleleze ukweli niligundua alikuwa anaishi na jamaa hugo japo si baba wa watoto wale nilijitahidi kupunguza mawasiliano jambo ambalo nlifanikiwa kuyafuta kabisa nimeoa mfanyakazi mwenzangu na tuna mtoto mmoja lakini kumbukumbu za huyu dada haziishi.
Naomba wadau mnishauri, nawezaje kumsahau.