Muogope sana 'ex' wa mpenzi wako

Muogope sana 'ex' wa mpenzi wako

Cha maana mi.nshaona ninkusonga front kuanzisha wa kwako....hata wengine wakikupokea poa tu
 
Acha ku cremisha mambo,

Kama we ulimla Xwako au mpenzi wako aliliwa na X wake usidhani everyone will do the same


U ex wangapi hadi sasa?
Hamna kitu unamiss kwake!?

Asilimia kubwa hufanya ivo
 
Maex wengi watakuwa hawajaachana mioyoni na vikojoleo.

Watambwato sana, ni muhimu kusearch bikra.
 
Mm huwa sinaga mawasiliano nao kbs

Ni vizuri na unajitoa mhanga kwa mwenzako wewe mpenzi wako atajivunia uaminifu wako lkn swali linakuja Je yeye pia atampoteza x wake? Au ndiyo kila siku kuchati naye?
 
Akiliwa na ww si unatafuta X wako unafidia
 
Mm mpaka sasa ...nina X 67 kati ya hao 14 wameolewa...lakin nikitaka yyte yule napiga simu siku mbil tatu na napasha kama kawa.....mfano week iliyopita nilikuwa mishi kikaz nikampigua simu ex wang no 5...mumewe nikatambulishwa ndugu yake....after kesho yake demu kaja hotel nikapasha na nimerud mwepesi...na mmewe kanitumia nauli
 
Ni vizuri na unajitoa mhanga kwa mwenzako wewe mpenzi wako atajivunia uaminifu wako lkn swali linakuja Je yeye pia atampoteza x wake? Au ndiyo kila siku kuchati naye?
Mm siangalii yeye anafanya nn mm nafanya hivyo for my own gud
 
Back
Top Bottom