Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mabibi na mabwana, Ya leo ni kuwa, Kasie kajikuta kwenye dimbwi la maji ya uaridi yasochosha kuoga wala kunawa wala kuyanywa vivyo hivyo kuyapikia na kuyafulia. Kasie amejikuta amemdondokea...
5 Reactions
80 Replies
6K Views
Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana. Dada...
11 Reactions
12 Replies
2K Views
Upoleee... upole ni ngao yangu Nakusubiri ii. ...Nakusubiri sichoki ii Subira aaa...subira ni ngao nakusubiri ii. ..Nakusubiri sichoki Iwe safi moyo wanguu. ...ooh wangu..... Sina kinyongo na...
13 Reactions
77 Replies
6K Views
salaaamu! Ni ombi. . . .wanaume kwa wanawake embu tumrudie Mwenyez Mungu huenda mapenz yetu katika uchumba na ndoa zetu zikapona. Jaman,tupo pabaya kwakweli.upenz haudumu,uchumba haudumu,ndoa ndo...
1 Reactions
1 Replies
856 Views
Amani Iwe Juu Yenu! Poleni na mihangaiko ya hapa na pale kwa ajili ya kujitafutia riziki! Nisiwachoshe sana,ngoja niende moja kwa moja kwenye mada! Kuna siku mwezi uliopita nilikuwa...
3 Reactions
29 Replies
12K Views
Tumsaidieni dada huyu wanaJF na tutajifunza mengi kwa hiki kisa chake. Mimi nimeolewa miaka 2 iliyopita tunaishi vizuri na mume wangu japo mi sina raha na hivi ninavyoandika hii msg nimenuna...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kulingana na sensa iliyopita, mko wanawake milioni moja zaidi ya wanaume. Kuna wanaume wengine ni mashoga. kuwa na mwanaume wa kwako peke yako ni kitu kilichoshindikana. tunadanganyana tu...
1 Reactions
76 Replies
5K Views
Habarini wanajamvi...Mi nina umri wa miaka 40...nilizaa na mdada then tukaachana ka miaka minne...ananiomba mara nyingi sana turudiane...sasa naingiwa sana na huruma ya kutaka kumrudia ila kusema...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Heeeeeeeeeeeey sweethearts! Watsup!! Leo naandika kitu kuhusiana na wanaume wanaokutana na wanawake kwenye maclub, asilimia kubwa wengi wanafikiri wanajiuza na kama sikujiuza they think these...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu asalam aleykum Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Ni muda mrefu hawa watoto wa kinyarwanda wamekua wakichanganya mtima wangu. Yaan nikiwaona roho yangu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Huu ni muda ambao natamani nikirudi nyumbani nipokelewe na mtu wangu wa halali, aniambie pole na kazi, karibu nyumbani, chakula kitakuwa tayari soon. Yaani natamani kuwa na mtu ninayemuita mke...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni ngeni humu ila situation forced me get in,naomba msaada wa mawazo! Nina mchumba japokua sijatambulishwa kwao lakin nampenda sana mpaka inafika situation najinyima. Mwanzoni mwa mwaka huu...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Ukiangalia Wanaume town asubuhi au jioni utakuta wamewapakia marafiki, wanawake au ma staff wenzao... Lakini gari nyingi zinazoendeshwa na wanawake hukuti mwingine kapakiwa ndani ya gari...
13 Reactions
203 Replies
19K Views
Habarini wanajamvi, Kwanza niwashukuru kwa ushauri wenu wakati nimeleta uzi kwamba I am dating a girl ambae ana dini tofauti na yangu na kupitia michango yenu tulifanikiwa kupata suluhisho...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Bwana Yesu asifiwe Watu wengi siku izi wanaogopa kuoana kwa kuhofia kuja kuachana, ikiwa hawajui km NDOA ni ulimwengu Wa FURAHA. Kuachana in kitendo mke na mume kufikia hatua kukubali kuvunja...
5 Reactions
32 Replies
6K Views
Huu ndio UKWELI MCHUNGU 1. Kamwe usiishi na mwanaume ambaye hujaolewa naye, usiishi na 'boyfriend' wako kinyumba hata kama ni mchumba wako, utaonekana uko 'cheap' na ndoa unaweza ukaisikia kwenye...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu..nahitaji mtu wa kushauriana ktk masuala ya kutafuta maendeleo iwe biashara ..kilimo au utoaji huduma halali ambayo itatuingizia kipato..mm niko kny age of 40s..ni...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Dondoo 10 muhimu sana kwa walezi /Wazazi na Wazazi watarajiwa wote 1. Mkanye mtoto wako wa kike na hata wa kiume kuhusu kukubali kupakatwa hovyo, bila kujali ni nani anampakata, hata kama ni...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini humu wapendwa!!! Siku hadi siku wale wanaume wenye mambo hasa ya kiume wanazidi kupotea,wanaume wengi wamepoteza majukumu muhimu yanayomtambulisha kama mwanaume,kwa kukosa utambulisho...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…