Dawa ya mchepukaji hii hapa

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Ugomvi wa kimapenzi wamalizikia kwenye gar

160505150553_carklo2.jpg

Image captionRange Rover
Picha za gari lililokuwa na ujumbe wa kukasirisha uliochorowa katika gari hilo zimesambazwa mara elfu katika mtandao wa Twitter.

Gari hilo jeupe aina ya Range Rover Revere lenye bei ya pauni 75,000 lilionekana limeegeshwa karibu na Harrods magharibi mwa London na kuchorwa ujumbe wa kukasirisha kwa kile kilichoonekana kuwa mpenzi aliyedanganywa.

Gari hilo liliandikwa 'cheater' { mwongo} katika pande zote mbili za gari huku maneno ''Natamani angekuwa na thamani'' yakiandikwa katika madirisha ya gari hilo.

160505150536_carklo4.jpg

Image captionRange Rover iliochorwa
Klo ambaye alipiga picha za gari hilo alisema kuwa alimuona mwanamke mmoja akilichora gari hilo,alikuwa kama aliye na wazimu.

'Hakuna mtu aliyejaribu kumzuia.Baadaye aliondoka.Maneno ''Its Over'' pia yaliandikwa kwenye gari hilo ikielezea kuisha kwa uhusiano wowote''.


NB: Mimi na vespa yangu siku mama chanja akinikuta sijui atafungua tairi ?
 
ningekuwa mm napiga picha na huyo demu mpya kwenye hiyo gari namrushia whatsap akijifanya kichaa mm punguani
 
Aah mimi atalisafisha hilo gari mbona. Ni anagongwa makofi ya kutosha.

Mapenzi ya kwenye TV huko huko.
 
hii range rover revere sijawah kuiskia asee,,ni toleo ya mwaka 2016 nn

ni kali kinyama asee!!!
 
Back
Top Bottom