bigmind
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 12,457
- 12,682
Jamaaaani haya mapenzi kwanini yasiwe na formula basi tukajua kama nikwenda kuyasomea kuzama darasani ikajulikana moja.
Mpaka sasa natamani mapenzi ya kweli bora yangekuwa yanauzwa supermarket ningefanya kazi kama punda ili siku moja nipate pesa kiasi cha kutosha kuyanunua ili niyafurahie angalau...!
Najua unasoma midomo iko wazi ukicheka kwa kufurahia au kuvuta umakini kwa haya maneno ya kwenye hii habari ila ninayeandika hapa nagugumia maumivu ya hatari sana.
Sikwamba nimeachwa ila iko hivi kwanini mara nyingi hisia kati ya wakaka na dada hazijabalance jamani, mwenzenu nina warembo wanne sasa zoezi la kuchagua nani awe mke limekuwa gumu sana, kati ya hao warembo wanne yupo dokta,mwalimu, mhifadhi na hotelia ila binafsi nawapenda wawili ambao ni mhifadhi na hotelia kwa mapenzi sawa kabisa kiasi kwamba ata watake niwaoe wote sitaona shida.
Sasa songombindo iko hivi hawa wapendwao ndiyo kabisa upendo wao kwangu kiduchu sana. Teacher na dokta wamejifia kabisa hawajiwezi tena ila ndiyo hivyo sina time nao, huwa nawaweka guard mpaka nawahurumia.
Ushauri ninao wapenda hawanipendi nisio wapenda nawalaza macho wakinipetipeti...!
Sina nia mbaya msije nishambulia nimechanganyikiwa hapa.