Mwanamke aharibu gari ya kifahari ya mpenzi wake baada ya kutoswa kimapenzi

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Hii imetokea baada ya mwanamke kugundua kuwa jamaa anatoka na mwanamke mwingine kwa kumficha
Baada ya demu kugundua akawa anamsaka jamaa bila mafanikio,hapa na hapa akakutana na jamaa viwanja akila raha na mwanamke mwingine,alichokifanya mwanamke ni kutafuta rangi ya spray na kuchafuachafua Range ya jamaa kwa maandishi mekundu

Baada ya demu kutekeleza zoezi akasepa zake huku akilia na kujisonya
Hii inaitwa komoa nikukomoeeee....
image.jpeg
image.jpeg
 
Dah kisa cha kumchafulia mwenzake gari. , nae si aka cheat
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom