A cry for help

keketso

Member
Jan 13, 2015
18
5
Habari kwenu nyote

Nimekuja humu leo kwasababu na shida muhimu sana iliyotokea kwenye maisha yangu naitaji msaada kuna wale watu waliobarikiwa kusaidia wenzao ukiguswa naomba uniandikie pm naitaji msaada wa hali na mali siwezi kuandika shida yangu hapa naomba ieleweke

Siitaji matusi au kebehi kwasababu mtu mpka amekuja huku kuandika kitu amefikiria kwa mapana na marefu na ana shida kweli na anateseka so plz if u will be touched do write to me thanks
 
Mkuu...
Kwanza pole kwa linalo kugusa.
Lakini....
Kwanini kama tayari umeamua kufunguka hapa jamvini, ni bora unge weka wazi linalo kusibu ili upate wepesi wa kusaidiwa.
Bila ya hivyo,
mmmhhhh......
utaonekana mlilia tumbo tu aiseee...
Samahani kwa umaliziaji wangu mmbaya
 
Habari kwenu nyote

Nimekuja humu leo kwasababu na shida muhimu sana iliyotokea kwenye maisha yangu naitaji msaada kuna wale watu waliobarikiwa kusaidia wenzao ukiguswa naomba uniandikie pm naitaji msaada wa hali na mali siwezi kuandika shida yangu hapa naomba ieleweke

Siitaji matusi au kebehi kwasababu mtu mpka amekuja huku kuandika kitu amefikiria kwa mapana na marefu na ana shida kweli na anateseka so plz if u will be touched do write to me thanks

Kama hutaki kufunguka kwa nini unapost uzi kwenye jukwaa huru la watu kufunguka?
Kama unataka kuungama si uende madhabahuni utakapotimiza haja yako tena kwa siri! Bro ukificha uchi hutapata ujauzito, wala kuzaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom