Mlijadiliana hadi kufikia conclusion hiyo..?kiupande wangu Mimi NINACHEPUKA zaidi kuliko mwenza wangu.
saa sijui hii itakuwa imekaaje??
Unajipinga mwenyewe , Kama wanaume walio kwenye ndoa wanachepuka na dogo dogo basi hakuna mwanamke aliye kwenye ndoa anaye weza kuchepuka na mume wa mtu , atampata wapi wakati yupo buse na dogodogo.Wanawake ni mabingwa wa kuchepuka na waume za watu. Wanaume wanachepuka na dogodogo, wachache wanachepuka na wake za watu