Tendo la ndoa mara nane kwa siku, mke amechoka

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
32,237
50,397
Hii nimeipata kwenye tovuti ya habari, mwanamke ameolewa na mume ambaye hachoki na hatosheki, wanafanya tendo la ndoa mara nane kwa siku. Mke anasema mumewe ni mzuri sana kitandani na kweli huwa ni mahaba kwa raha zao, lakini sasa ameanza kuchoka na anaogopa kumtajia mumewe asije akatafuta huko nje.

Anaomba ushauri nini cha kufanya maana hana nguvu tena za kumthibiti mumewe wanayependana sana.

Taarifa hii hapa

Dear Coleen,
My husband has an enormous sex drive and can want it up to eight times in 24 hours (one weekend we made love 36 times).

I’m 47 and, although fit for my age, this level of activity is killing me!

My husband is slightly younger than me at 45, but is insatiable.

Our love-making is fantastic and he is a good attentive lover.

I don’t want to upset him or have him look elsewhere if I start saying no. Help!

My husband wants sex eight times a day and I'm exhausted
 
Hii nimeipata kwenye tovuti ya habari, mwanamke ameolewa na mume ambaye hachoki na hatosheki, wanafanya ngono mara nane kwa siku. Mke anasema mumewe ni mzuri sana kitandani na kweli huwa ni mahaba kwa raha zao, lakini sasa ameanza kuchoka na anaogopa kumtajia mumewe asije akatafuta huko nje.

Anaomba ushauri nini cha kufanya maana hana nguvu tena za kumthibiti mumewe wanayependana sana.

Taarifa hii hapa

Dear Coleen,
My husband has an enormous sex drive and can want it up to eight times in 24 hours (one weekend we made love 36 times).

I’m 47 and, although fit for my age, this level of activity is killing me!

My husband is slightly younger than me at 45, but is insatiable.

Our love-making is fantastic and he is a good attentive lover.

I don’t want to upset him or have him look elsewhere if I start saying no. Help!

My husband wants sex eight times a day and I'm exhausted
Hayo ndo maisha
 
Sitaki kuamini kama ni Mkenya ndio kaandika kuswahili kizuri namna hii!
 
wanawake shida sana, ukipiga moja kwa wiki, wanasema wanaume sikuhizi hawana nguvu za kiume, ukitaka kila siku bao mbili tatu, wanasema wewe mroho. haya sasa.

Back
Top Bottom