GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Kwa masikitiko makubwa mno leo najitokeza kueleza KERO yangu kwenu Dada zetu kutokana na MATESO mnayotupa hasa ya kututia hasara kila kukicha.
Sijui Dada zetu siku hizi mmeingiliwa na nini kwani wengi wenu mmekuwa na tabia ya kufuga Kucha ndefu mithili ya bisibisi ( kifaa cha umeme kirefu ) na ambazo mara nyingi tunapokuwa tumelala nanyi au tumepumzika ( tunangonoka ) mwishoni sisi Wanaume wengi hujikuta tumechaniwa Mashuka yetu ambayo tunayanunua kwa taabu sana kwa ukosefu wa Hela.
Na nisiwaficheni Dada zetu hizi kucha zenu haziishii tu katika kutuchania Mashuka yetu bali mara nyingine pia hujikuta tunajeruhiwa nanyi tukiwa tunangonoka kwa kubiringita kwa kutuchana na hizo kucha zenu ndefu.
Sasa ni afadhali kidogo huyo unayelala nae awe na kucha ndefu halafu laini hilo linajadilika sasa utakuta unaenda " kubanduana " na Binti ana kucha ndefu halafu ngumu kama ulimi wa Kifaru ambapo haishii tu kukuchania Shuka lako bali anatia hasara hadi vitu vingine.
Tunawaomba Dada zetu mnaojua kuwa mna kucha ndefu kuwa mnapokuja kwetu Wanaume kungonoka basi humo katika mikoba yenu msiwe mnasahau pia kubeba na Shuka zenu mbadala za kutandikia kitandani ili muokoe hizi shuka zetu.
Mmesababisha sasa tununue nail cutter, viwembe, spirit na plasta ziwe standby kwani japo huwa mnakuja kufanya mapenzi nasi ila kiukweli mnapoondoka huwa mnatuachia majeraha makubwa sana ya kimwili. Na sijui ni kwanini hivi vitimbi vyenu vyote ( vya kutuchania Mashuka na kutukwaruza na kucha zenu ) huwa mnavifanya pale tu ambapo UTAMU wa goli / bao unapokaribia huku wengi mkiwa mnapagawa hadi mnatupa miguu yenu huku na kule.
Rai yangu kwenu Dada zetu hebu jitaidini muwe mnakata basi hizo kucha zenu ili wote tuwe na amani tunapokuwa tunangonoka vinginevyo huwa mnatulazimisha tunywe Panadol au Diclopa pasipokutarajia ili tu tuweze kuyapunguza MACHUNGU ya kuparamiwa na mikucha yenu hiyo mirefu ya miguuni mnayoifuga.
Namaamini mtalifanyia kazi hili nililowaambia hapa. Badilikeni tafadhali jamani mnatukwangua mno na kutuachia sana majeraha mwilini na haa hasa maeneo ya Ugokoni au Mbavuni.