jackito
Member
- Nov 28, 2014
- 33
- 24
Wakati mwingine huwa nahisi nimerogwa, linapokuja swala la huyu Ex wangu sijiulizi mara mbili mana bado nampenda si kidogo.
Miaka mitatu tangu tuachane ila bado tunakutana na kushirikiana vitu vingi sana vya kimaendeo na maisha.
Nipo kwenye mahusiano na mtu ila sijampa nafasi kubwa kama aliyonayo huyu wa zamani.
Mpenzi wangu wa zamani bado hajaoa na sijui kama ana mtu ama vipi mana sijawahi thibitisha. Na bado nina uhuru kwenye maisha yake kama zamani, ndugu na jamaa zake bado wanatambua tuna mahusiano hajawahi sema kama tumeachana.
Natamani nimsahau mazima nitulie kwenye mahusiano mapya ila nashindwa, najikuta siachi kuonana naye muda wowote anaponiitaji.