Kiluuj
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 692
- 277
Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya Raila Odinga alikuwa humu Tanzania hivi majuzi.
Kati ya mambo waliyojadili na mwenyeji wake Rais Magufuli ni jinsi mmea wa MIRAA {Mirungi} unaweza kuanza tena kutafunwa Bongo kihalali.
Ninavyosikia (bado sijagoogle madhara yake) mirungi huchangia sana familia nyingi kuvunjika na michepuko sababu inaondoa hisia zote za mapenzi na ndio miraa imepigwa marufuku TZ, Uingereza na Uholanzi.
Watuletee au?