Ukweli ni kwamba miaka mingi ya nyuma dunia ilikuwa na watu ambao walikuwa sawa, idadi ya wanaume ilikuwa sawa na wake, ila miaka ilivyozidi kwenda wanawake walizaliwa kwa speed maradufu ya waume...
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a...
WANANDOA wakongwe wanaoaminika kuwa na ndoa zenye umri mkubwa kuliko zote ndani ya Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wanatarajia kutunukiwa tuzo maalumu, Jumapili wiki hii katika tukio...
Jaman wana jf wenzangu, Leo nipo katika kiza kizito Sana, yaliyonikuta Leo wala sikutegemea, lakini Namwachia Mungu, kweli hakuna ajuaye kesho,ntapotea kwa muda huku, kwaherini
Katika ulimwengu wa leo, kuna kitu ambacho nimeshindwa kabisa kuelewa kinafanywaje, japo kukiri huku kunaweza sababisha wanaume wengi wasinielewe. Mie sijui kabisa kutongoza mwanamke tuliyekutana...
Ndugu wanajamvi poleni na majukumu ya hapa na pale,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kwa kawaida baadhi ya wanawake hulinda ndoa zao kwa kutumia limbwata ili kuzitawala familia zao hasa...
Habari zenu wanajamvi,
Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanaJF wote, zaidi sana wale walijitokeza nilipotoa tangazo la kutafuta Mr. Right.
Napenda kuwataarifu kuwa tumeendelea na mikakati...
Habarini,
Nakuja,humu jamvin nahitaj mke, awe na Umri kati ya 20-35,awe hajaolewa,awe amejiajiri/kuajiriwa,atakayekua na mapenz ya dhat nami,awe mkristo,atakayekua tayar kuish nami mahali popote...
Heshima kwenu wakuu,
Hivi kwanini watu hawana roho ya huruma kwa wale wawapendao? ni Jeuri ya kupendwa na watu wengi au?
Unakuta umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini...
Kuna mdada miaka 35 anaitaji mume mtanzania umri wake uwe miaka 45 na kuendelea hata kama ana watoto haina shida ila wasizidi 3, yeye hana mtoto
kabila lolote dini yoyote yeye, ni mkristo elimu...
Kama mada inavyojieleza...
Nimepata kuwahi kukutana na kusikia tena kwa masikio yangu ya nyama wanawake walio wengi wanatamani kuwa wangezaliwa wakiwa na jinsia ya Kiume.
Wengi wao wanasema...
Habari za jumatano wanajamvi, bila shaka mmeamka salama kabisa.
Leo nimekuja huku kuomba ushauri maana tangu usiku sijalala kichwa kinawaka moto.Nimeoa miaka minne ilitopita, kabla ya hapo...
Mimi ni msichana nina mpenzi wangu ambaye nampenda ila nikiwa na shida huwa najishauri sana kumuomba hela,sipendi hiyo hali lakini nitafanyaje,sina kazi na bado nasoma,japo nikimuomba ananipa...
Habarini za saivi wana JF. Mwaka 2012 niliondoka nyumbani Arusha nikahamia Dar. Tulipokuwa Arusha tulikua na mfanyakazi wa kinyaturu, basi huyu dada hakuwa mchoyo wala hajui kukataa ukimuomba...
ni kama best friend hivi ! tatizo yeye akipiga story na wanaume mie nikiona na chukulia poa maana sio mchumba wangu .lakini mie akiniona na piga story na msichana anachukia na hata nikimpa hai ataki