Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Ukweli ni kwamba miaka mingi ya nyuma dunia ilikuwa na watu ambao walikuwa sawa, idadi ya wanaume ilikuwa sawa na wake, ila miaka ilivyozidi kwenda wanawake walizaliwa kwa speed maradufu ya waume, hadi kufikia sasa hali ni kuwa wanawake wamekuwa ni wengi mno ukilinganisha na idadi ya wanaume.
Hivyo rai yangu ni hii; Ili kuepuka dhambi kama vile usagaji na nyinginezo, ni vyema kila mwanaume ajichukulie wanawake idadi atakayoona anaweza kuwatunza. Tuache habari za ajabu!
Inakuwaje wanawake wapo 300 na wanaume 70 af unasema kila mwanaume aoe mmoja!, hawa wanawake 230 wajioe wenyewe!?