Kwa wanaume wa Dodoma tu!

overblessing

Member
Apr 2, 2016
18
40
Mimi ni mdada wa umri wa miaka 29,naishi Dodoma mjini, natafuta mwanaume ambaye makazi yake ya kudumu ni Dodoma ili tufanye maisha i really need a family now! . Mimi ni mkristo and I am a committed christian, nimeajiriwa ,elimu yangu ni bachelor degree for now, Ningependa mwanaume mkristo pia awe na kazi, ni vyema akiwa na elimu kuanzia bachelor degree na kuendelea .Umri kuanzia miaka 29 hadi 38.Mengine tutafahamishana pm . Nashukuru I believe Iwill meet good people with respect.
 
nyundo 29 unajiita Dada? serious watake radhi wenzako aisee
 
Wakiwa age ya kuolewa 23-27 huwa wanaringa balaa ila wakifika 29- wanaanza kulazimisha ndoa jichanganye hapo uone huyu sahiz mbibi utaambiwa kama mahari huna ntakuongezea baby
nimecheka sana 29 yrs mtu ajiita Dada? aah jamani kwa hiyo 18-24 hivi waitwaje?
vijana wa kiume hukoma kuitwa wavulana wakivuka 18 tu
 
Hahahhahaha mkute mdada wa hivi akiwa 18-25..... Hizo nyodo zake lazima ukae, yaani hapo ujana wote kaumaliza kila size kaiona, kila style kacheza na uwezekano mkubwa ni MTERA
 
Daaaa uwe mstaarabu mkuu hao watu kuringa ndio asili yao tumeambiwa tuishi nao kwa akili
 
Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
 
sijasema lazima awe nayo nimesema ni vyema awe nayo! hiko ndio kimekukera? mbona bachelor kawaida sana nowdays!
aise dunia haiwezi kwisha maajabu yani unatafuta mwanaume kupitia JF utadhani huko unapoishi wanaume wamekwisha kuwa makini aise husijekupotea
 
Sorry, kama kuna mtu amekwaza sijamdharau mtu na baona watu wamenishambulia buree sijaona kosa langu, yes am older now badala ya kunishambulia kwanini usiulize inawezekana kuna mambo yamesababisha,and not all women wanaolewa na hiyo miaka 24-27,naona watu wanatukana sio hivyo mnavyofikiria wala mi sio mtu wa maringo, najitambua but sometimes kuna vitu vinatokea katika maisha hujui kwanini ila ndio vinakuwa vimekupata hivyo u need to accept, nilipokuwa chuo mwanaume niliyekuwa na uhusiano nae alimpa mimba msichana wa hapohapo nikawa nashuhudia wanalea mimba hadi wanazaa infront of my eyes and he was my first guy ! niliumia mungu alinisaidia nikamaliza kwa kufaulu but nikaamua tu kuwa mbali na wanaume! ,nimepata kazi that guy kaachana na yule dada anataka kuja kwangu nikakataa, nikapata uhusiano na mwanaume anakaa mwanza ndoa ya mbali tena mwanzoni nimeona hapana nahitaji wa hapa hata kama baadae tukiseparate but at least mwanzoni tuishi wote! Sijaelewa kwanini wanaume wameanza kutukana!
Wala haukuhitaji kujieleza..Humu wajuaji wengi..Ukimsikiliza kila mtu utapasuka kichwa..Stick to your mission..Cha msingi kuwa makini..Mitandaoni wazinguaji wengi...Kila la kheri..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom