malisak
JF-Expert Member
- Mar 16, 2006
- 694
- 773
Zamani tulizowea kuona watu wanajihusisha kimapenzi na wanaume wakubwa ama wazee na watu walikuwa anaona sawa, ila siku hizi ni vijana wadogo kwa wanawake wakubwa na imekuwa kama kauli mbiu kuwa "mwana wa mwenzio, mubwa mwenzio" "uzee mwisho chalinze sijui wapi" "rika langu simtaki maana atanisumbua na hatutaheshimiana"
Je wewe ni upi mtazamo wako katika haya?
Je wewe ni upi mtazamo wako katika haya?