NI MTAZAMO TU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,203
- 999
Neno nakupenda ni dogo sana ila moyo wa mwanadamu hulipokea kwa uzito wa juu sana..
Karibu kila lugha duniani wanastahili ya kulitumia ili kumuonyesha aliye naye kuwa anampenda.
Mfano:
KISWAHILI -Nakupenda
KINYAKYUSA -Nghughanile
KIINGEREZA - Love
KIJERUMAN -Liebe
KIFARANSA -Cher
Kuna kipindi nilichepuka lakini mpenzi wangu aligundua,ijapo nilijifanya kidume kukataa, maana ilikuwa ngumu sana kukubali kuwa nilichepuka.mbaya zaidi nilinyimwa kwa muda. .akili ilinijia kumwambia nakupenda sna mpenzi wangu, hakika nikaona amelainika. .na maisha yakaenda.
Je? Ulisha wahi kumwambia mpenzi wako au mtu wako wa karibu kuwa nakupenda sana na alipokeaje?