Lazima nimfanyie kitu mbaya, subiri tu, anakuja kwangu na kuagiza bia? Ngoja

baptiste

Member
Aug 17, 2015
92
157
Haiwezekani hata kidogo mtu anakuja ninapoishi na mwanamke mpya na kuanza kuagiza apewe vyakula na vinywaji kisa palikua kwake zamani, wakati walishagawana mali na bibi yangu akasepa, sasa leo anajifanya kuja kuona watoto halaf anaagiza apikiwe, anatuma na bia anakaa kwangu na kuanza kunywa
Anabeba vitu kujifanya analetea watoto kana kwamba mm siwezi
Sasa tutaona, mm ni nunda, nitafanya Mpango wa kumuoa tuone kama atarudi tena

Kuzaa na bibi yangu sio kigezo cha kuvamia kwangu bila taarifa, simaindi kabisa, ni wivu tu, anaona wivu navyomlamba mama wa watoto wake, na mm sitoki hapa nitalamba hivyo hivyo
Hii tabia nitaikomesha tu
Mahakama imeshagawa kila kitu kinachomleta pale ni nini?

Kama ni mke wake si kanipenda mwenyewe, MI nilimlazimisha? Si ameniita mwenyewe tuje tuishi
Akyanani we ngoja tu, nitamtafuta mtaani na kumwoa tuone kama atakuja tena
Nonsense
 
Mkuu kwani mwanamke ni huyo huyo mmoja au kwakua anavitu alivyogaiwa na mwanaume mwingine? Utakufa kwa kihoro mwanaume toka ukatafute vya kwako. Huufahamu huu usemi kuwa 'Mtalaka hatongozwi'.
 
Watu mna vipaji vyenu, kumbe mwezetu wewe umemuelewa alichoandika hapa? Duh!!
yaani kaoa ex wife wa mtu ila anaishi nyumbani kwa hyo xwife.na xhusband anakuja hapo na kuagiza bia na kuagiza apikiwe.ndo hyu mdau kamaind eti
 
Hahahah sasa kama umependa si umuhamishe huyo mwanamke hapo kwenye nyumba ya xhubby wake jamn muishi kwa uhuru
 
Jamaa umeandika ukiwa umepanic maana ni kama unajibizana na mtu..Ila tahadhari sana usiwe mbabe sana mahali ambapo na wewe mwenyewe umeletwa tu....Vuta Mama kwenye himaya yako uone kama jamaa hatokuwa na respect..
 
yaani kaoa ex wife wa mtu ila anaishi nyumbani kwa hyo xwife.na xhusband anakuja hapo na kuagiza bia na kuagiza apikiwe.ndo hyu mdau kamaind eti
Kumbe tunapoteza muda kumjadili mwanaume anayekaa kwa mwanamke?

Kwenye kabila letu ni uchuro mtu kama huyu tunamtenga na familia, mtu asiyejuwa hata kodi ya nyumba inalipwaje ni hasara na mzigo kwa Taifa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom