Role models na vijana wetu

Role models na vijana wetu

MTINGIJOLI

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
1,460
Reaction score
1,476
Habarini za mfungo, poleni na swaumu kwa wale waliofunga.

Hili neno 'role model' limeharibu vijana wengi sana hadi kufikia sasa, vijana wengi wamejiingiza kwenye madawa ya kulevya, ujambazi ushoga na hata uvutaji wa bangi, kisa tu 'role models', kabla ya kuiga hivi hawa watu ni maisha yao kweli? Au ni biashara?
 
mkuu miaka yote hujui pakuiweka hii sired?
 
Back
Top Bottom