Unawezaje kuishi na mwanamke mlevi?

Majighu2015

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,936
3,958
Hivi ikitokea una mwanamke ambae anakunywa pombe na wewe haunywi unawezaje kuishi nae? Unakuta zile harufu za pombe zinakukera na ukimueleza mwenzio angalau aache pombe haachi.

Na kingine mwanamke akinywa pombe naona anakua kwenye risk ya kuchepuka kwasababu anaweza akapata offer ya mwanaume akalewa watu wakajilia vyao.

Wadau nyie mnalionaje hili swala na kama ishakutokea uliwezaje kutatua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom