UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,397
- 1,011
Haya ni maajabu ya mchepuko wangu kiukweli ni mzuri na ana diploma fulani hivi lia bado hana kazi na tulikutana mwezi wa tatu mkoani na nikamweleza fika kuwa nina MKE NA WATOTO WATATU .
Sasa anadai ananipenda sana na anataka tuzae mtoto mmoja tu by the way mimi kakazi kangu na kamshahara wa laki mbili nikadhani anatania kumbe yupo seriously.
Nikampa swali baada ya kuzaa inakuwaje akadai we muhudumie mwanao tu sihitaji kingine na nikamuuliza una mpango gani na kaz huna akadai mwaka huu mwishoni anaenda kuchukua bachelor na anataka mwezi wa tatu mwakani awe na mtoto.
Mchepuko wenyewe una miaka 23 na sasa hayo ndo madai yake ya mtoto nikadhani labda ana kamimba kamtu mwingine nikaenda mpima hana na leo asubuhi na mapema ananiuliza vip ombi langu yaani ni kero.
Sasa nashindwa kuelewaa kama kuna mtu alishakutana na haya tu share kidogo wadau