babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,172
Leo unakuta na bi mdada anakwambia ameku fancy, unachukulia kama invitation. Unaanzisha mchakato wa kuchepuka anakupiga stop kwa kukuambia, I fancy you but I'm not in love with you!
Kwetu huku Tanga wakati tunajifunza mapenzi hatukuzoea haya.Ilikuwa ni kukimbizana kwenye mashamba ya mkonge mpaka kieleweke.
Naomba kueleweshwa.
Hawa Voda faster wanatuchanganya sana!
Kwetu huku Tanga wakati tunajifunza mapenzi hatukuzoea haya.Ilikuwa ni kukimbizana kwenye mashamba ya mkonge mpaka kieleweke.
Naomba kueleweshwa.
Hawa Voda faster wanatuchanganya sana!