Jamani heri ya mwaka mpya naona hata haya kwanza, ngoja nijibrekishe kwanza maana mapande ya akina mzee mwanakijiji sijui kama nitayahimili.
ni hilo hilo tu la kuhimili?(kumudu/kuvumilia) falsafa imelala hapa kijana,haya kama ulidhani mhimili huo uujuao imekula kwako tehe!!! happy new year
ninyi wawili wa mwisho mmenichanganya.
ninyi wawili wa mwisho mmenichanganya.
nepisoksi au gagulo?
ILA WEWE NI WA UKELI TOKA 2006 HADI SASA hivi hujasahai password tu
Duuuh!! Upo kumbe.....Password ni moja tu kwenye kila kitu siwezi kusahau maana mi si kinyonga akuuu....