UWOGA=UMASKINI
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 2,397
- 1,011
Mada husika inajieleza leo nikiwa nimejikalia sehemu napata moja moto moja baridi aakapija mdada ambaye namfahamu uzuri nikamnunulua bia mbili ndo akanipa kitu ambacho sijawahi hata fikiri ikuwa hivi.
Huyu dada ni mfanyakazi serikalini na aliolewa mwaka juzi baada ya kupata ujauzito na kumwambia maboyfriend wake ni yake na jamaa bila hiana akakubali coz alikuwa anapiga mzigo mimba ikiwa na miezi saba huyu dada akakomaa jamaa akabariki ndoa tena ya kanisani.
Baada ya hapo mtoto akazaliwa wa kiume ambaye kafanana na mama yake mama yake akafurahi sana kumbe bwana huyo mtoto alikuwa si wa huyu aliyemwoa alikuwa wa mume wa mtu na huyu dada ameniambia baada ya kunikuta nakunywa konyagi nikamkaribisha akaniambia situmii hiyo mpaka nijifungue coz si nzuri kwa hali yake nikamuuliza shemeji kashafanya yake akanijibu ndiyo.
Na akaongeza unajua nimeamua nimzalie damu yake coz yule si wake ni wa mtu mwingine amabaye ni mume wa mtu na akaongeza ile ranvi aliyokuwa nayo na lile bichwa ni la baba yake huyo mume wa mtu nikamuliza kwanini uamue kumfanyia hivyo akajibu nilikosa cha kufanya coz aliyenipa mimba ni mume wa mtu ningefanyaje ikabidi nifanye hivyo.
Ila nashukuru baba yake halisi namjali mwanae ila jamaa hajui baada ya kuniambia hayo akaanza kutaharuki NAKUOMBA USIMWAMBIE MTU oooh siri hii sijui imekuwaje nikuambie oooh! Nisamehe alihaha mpaka nikamwonea huruma ila ndo hivyotena na kanipigia simu sasa hivi ananisisitiza iwe siri yangu, lakini na mimi ni mwanaume nina watoto nikastuka na kusema niwaambie nanyi mlitambue namuone jinsi gani hawa baadhi ya wanawake wanavyotufanya. DNA waweke utaratibu wa KUTUSAIDIA HAWA BAADHI YA MAFEDHULI WAACHE TABIA HII MBAYA.
Soma ikikugusa comment haijakugusa kaa kimnya usitukane haitakusaidia wewe hata mimi.