Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hapa ninapoishi kuna mke wa mpangaji mwenzangu nashindwa kabisa kumwelewa. Mume wake ni mtu wa kurudi usiku sana kama saa nane na Mimi hua narudi kama saa sita sasa cha ajabu kila nikirudi...
1 Reactions
120 Replies
23K Views
Nibebe nibeebe nibeebe nibeebe nibembeleze nibeebee Eeeh baba unibebe nichukue unibeebee mikononi mwako ntakuwa salamaaa. Eeh Mungu uangalie kunena kwangu na uisikie sauti ya kilio changu... Moyo...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari zenu Wanajamii, Nilizaliwa miaka 28 iliyopita katika familia ya watoto 5,nimebahatika kupata elimu ya Digrii ya kwanza katika Chuo cha Elimu ya Biashara Dar es Salaam (CBE). Wakati nikiwa...
3 Reactions
34 Replies
4K Views
Habarini wapendwa, Mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia. Leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenye acc ya Fb...
9 Reactions
135 Replies
11K Views
Ilikuwa kawaida yake kulala na nyoka wake, na haya ndiyo yaliyomkuta. Hii ni hadithi ya kweli kuhusu mwanamke aliyekuwa na nyoka wake aina ya chatu aliyempenda sana. Nyoka alikuwa na urefu wa mita...
13 Reactions
23 Replies
10K Views
Najishangaa na nahitaji msaada wenu, ule utu wa kujali umenitoka huwa nakaa hata miezi mi3 sijajua nyumbani wazazi wanaendeleaje, marafiki hua siwapigii hata simu labda niwe na shida nao tu...
4 Reactions
99 Replies
12K Views
Hii yote inatokana na ye kuwa king'ang'anizi kwangu,nimemuumiza vya kutosha ila ye hataki kunielewa,mwishowe nimeamua kumchukulia kama chombo cha starehe. Sijui ka nakosea wakuu?
2 Reactions
54 Replies
7K Views
Habari za weekend wana jamii? Nna tatizo naomba mnisaidie kwa mawazo, jana nilikua na mpenzi wangu ambaye bado ni bikra na nna uhakika kuwa bado bikra,sasa kilichotokea ni kwamba tulipokua pamoja...
4 Reactions
241 Replies
55K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!! Wakuu hii story niliipata nikiwa wodini baada ya kupata ajali mbaya sanaa nusra nusra almanusra nife, back in 2013. Nilikaa saa wodini...
11 Reactions
26 Replies
6K Views
Heshima kwenu wadau. Nimeombwa ushauri nimeshindwa vya kumjibu. Nina ndugu yangu amekuja kuniomba ushauri ana mke wa ndoa kwa miaka mingi tu ila hali ya uchumi kwao imeyumba ana na wanakabiliwa...
1 Reactions
76 Replies
10K Views
Msimamo wangu wa kuto kuja kuoa na kuwa na mtoto bado upo palepale! Ila haimaniishi kuwa watoto wakike wazuri,wasafi kimwili,na wenye shape nzuri za kila aina sitaweza kuwaona! Hakika sasa watoto...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
============================ WANAWAKE wanene na wasomi wanakabiliwa na tatizo la kushika mimba kwa sababu ya kuandamwa na maradhi ya uvimbe kwenye kizazi. Hayo yameelezwa na Daktari Bingwa wa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume age 25 nina kazi tu nzuri lakini cha ajabu ata kutongoza bado naogopa wanawake sana, yaani naweza tetemeka nikikutana nao. Wana MMU naombeni ushauri wenu maana naweza nikazeeka...
3 Reactions
135 Replies
21K Views
Habari zenu wana JF, let me go straight to the point. Huyu baba ni mtu mzima ambae sikatai alikuwa ananisaidia usafiri kipindi nikiwa naelekea chuo ambako nae ofisi zake zipo huko, ukiwa ndani ya...
0 Reactions
108 Replies
10K Views
Juzi alhamisi nilikuwa na wife super market tukifanya manunuzi ya hapa na pale.....sasa ktk zunguka zunguka mle ndani tukakutana na mwanamke mmoja mi nafahamiana nae lakini hawafahamiani na...
9 Reactions
47 Replies
6K Views
Kuna taarifa kwenye gazeti moja la udaku kwamba eti kuna pasta 'anaomba usiku na mchana' Wema apate mimba. Nimeshtushwa kama kweli huyu pasta anajua maadili ya kanisa. Wawezaje muombea mtu...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
Wasalaam wakuu habari za masiku tele? Bila shaka muwazima wa afya kama kawaida. wakuu na wanajf wote kwa ujumla nina swali la kuwauliza. swali hili nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu nikawa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, ni imani yangu kuwa mu wazima kiroho na kimwili Nimetembelewa na rafiki yangu yapata wiki moja na zaidi, akitokea Mereran Arusha, urafiki wetu umekuwa ni undugu...
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Niliweka huu uzi hapa Hii mimba kweli yangu? Aisee yule mtoto mchungaji kamtimua kama mbwa kanisani kuwa analitia aibu kanisa, hiyo imetokea baada ya kupata no ya mchungaji na kumpigia nikimchana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…