Emanuel Joseph is university graduate currently he is civil servant working in Mwanza region Now he is looking for hardworking Girl to Marry age from 25 to 30. If there is a girl who is ready...
Ninampenzi ambaye tume dumu nae kwa miaka mitatu sasa tangu tuna anza nae alikua kabinti simple, ametulia, mpole ana sifa zote za kuitwa mke, interval yangu na yake ni miaka 3.Wasiwasi wangu...
Kama Mimba ni Kero, Wekeni Vijiti
Nimeamka na hasira leo baada ya www.bbcswahii. com katika kipindi chao cha Amka na BBC asubui ya leo tarehe 28/06/2016 kutangaza kuwa vitendo vya utoaji mimba...
Habari wapendwa.
Nimekuwa katika mahusiano na msichana mmoja muda wa miezi sita sasa.Ila kuna kitu sjakielewa toka kwake.
Ni kwamba kila tunaposex kuna neno huwa anapenda sana kulitamka...
Heshima zenu wakuu!
Ingawa haijathibitishwa kisayansi lakini naheshimu sana mawazo ya wahenga wetu juu ya tafiti zao za jadi
.
Niliambiwa kuwa ukimwona binti mwenye mwanya mdomoni anakuwa...
Mambo vipi wadau,
Naomba nielekee moja kwa moja kwenye mada yenyewe. Ni kwamba nimedumu katika uhusiano na mpenzi wangu takribani 3 years. Niseme ukweli katika mahusiano yangu yaliyopita sijawahi...
Hello wana JF,
Natumaini mko poa na tunaendelea kusapotiana kwenye mambo ya msingi, naombeni ushauri.Nilishakuwa na girlfriend mmoja ambaye nilitumaini anaweza kuja kuwa mke wangu kwa maana...
Habari wanajamii,
Mimi ni msomaji sana wa post humu ndani, niseme ukweli nimejifunza vingi sana. Ila nimesikitishwa na hii tabia ya kupost stori za kutunga afu unaweka as if ni ukweli lakini...
Title; SITOCHOKA KUMTAFUTA.(1)
Writer: James nyondo
Niasubuhi na mapema anaonekana binti akiwa anafanya usafi maeneo ya nyumbani kwao...akiwa anaendelea na usafi anatokea kijana mmoja aitwae...
Ilianza Kama sinema judithi millambo alipopata bahati ya kuelekea nichini America kwajili y kusomea masomo ya muziki kutokana na kipaji alijo jaaliwa na Mwenyezi Mungu......
Ilkua n siku ya...
Ukitaka kuhakikisha hili, panda basi za mwendokasi.
Utawakuta bila aibu hata kidogo wamekaa kwenye viti na hawataki kuwapisha watu wazima. Yaani mtoto mdogo kabisa kakaa kwenye siti bibi yake...
Habari zenu wanajamii natumaini hamjambo wotee,,,nasikitika rafiki yetu na mwanajamii mwenzetu Kim nana anaumwa na amelazwa ,nachukua fursa hii tumuombee ili Mungu amjaalie afya njema apone...
Jamani wana jm naomba leo tulijadili suala hili,inakuwaje watu mlikuwa wapenzi kwa muda mrefu,lakini inapotokea uhusiana kwisha, yule anaeachwa anaanza kutoa maneno mengi ya kashifa matusi, na...
Hawa wenzetu huwa wanatabia fulani za kujifanya wastaarabu siku za kwanza lkn ukikaa nao muda ndo unajua tabia zao zikoje, mfano msichana siku ya kwanza unaweza mnunulia chipsi lakini atakula...
Nyie wadada mnaochora Tattoo za majina ya boyfriend zenu mnatakiwa muwe makini, mhakikishe hayo majina yapo katka vitabu vya dini, mfano Marko ili mkiachana uongezee hapo 2:6...
ndugu zangu wana jf.poleni kwa kazi.natumaini wote hamjambo.
Ndugu zangu ninaomba munisaidie katika kuainisha sifa za mwanamke jeuri,kwa maana ya matendo yake,haiba yake,na nk.( 2) je ninamna...
Habari kwenu
1. Mwanamke anaeolewa akiwa hajaguswa na mwanaume hata kama akipewa critoris orgasm anaridhika na atampenda mumewe.Wakati screpa unakuta ametembea na ndume nyingi ukimpa critoris...